Swimming Pool ya Kwanza Manzese

Swimming Pool ya Kwanza Manzese

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
269804_363329330421471_164026899_n.jpg
 
Duuh.. Na rangi ya maji imebadilika kabisa..! Tucipokufa na njaa tutakufa na magonjwa ya milipuko..!
 
Mkuu Mbuzimzee watakaoogelea humo si watu bali vijitu na viatu. Hebu mkaribishe rais wako Vasco da Gama uone atakavyokamata pipa na kwenda zake Hawaii kuogelea akiacha wewe unawasha ukurutu. Imekula kwako kaka.
 
mbona hayo maji yanafanana na rangi ya c-c-m?
Ha ha ha ha haa.. Ngojea wenyewe waone hii comment, juzi Mtu mmoja alikuwa anaongezea maneno ya Yule kichaa kule Arusha aliyesema, migomba rangi gani...kijaniiii, je miti rangi gani..kijanii.. (akaongeza) Maji ya choo rangi gani.. Watu .. Kijaniiii
 
aahahhahaahhahaa ahahaha sitaki mimi mabavu zangu wapi zomba na mwanae Ritz
 
Last edited by a moderator:
heheheh...Mbuzi Mzee umetisha hapo!!
 
Back
Top Bottom