Haha!, tumepumzika kama kidogo atoto. Zamu ya kina HS sasa. Lakini wenzetu wana faidi zaidi, kila kitu cha kwanza kwao lazima kitangazwe, mara lift, mara kimondo, sisi ni ma pose tu ya picha. 😀
Aisee niliona picha ya swimming pool moja ya China, yaani ilikuwa imefurika hakuna hata pa kusogeza mkono! Sasa swimming pool kama hiyo unaogeleaji!? Nilishangaa sana.