Swimming Pool ya kwanza kujengwa Mbeya.....

Hahahaa warete warete hapana chezea mnyakyusa wewe.
 
Hilo swimming pool... mbona njemba kibao demu wachaaacheee wa kuhesabu?!... Raha ya swimming pool lijae bikini!!...
 
Haha!, tumepumzika kama kidogo atoto. Zamu ya kina HS sasa. Lakini wenzetu wana faidi zaidi, kila kitu cha kwanza kwao lazima kitangazwe, mara lift, mara kimondo, sisi ni ma pose tu ya picha. 😀

Mapozi na ushamba
 


This's niice!, atoto itabidi tuombe mwaliko Heaven Sent atupeleke huku.
 
Nadhani hii ni nchi fulani huko Afrika ya magharibi.Ingekuwa ni mbeya hapo ningewaona marafiki zangu akina Mwankenja,Mwakanosya,Mwantulo,Mwamaja,Mwaikambo,Mwakipesile,Mwaisabula na Mwaipaja.
 
Kumbe Kuna beach nzuri hivyo jmn wacha nifunge safari ya huko
 
Hahahha kama vile namwona Mwakabombadier kule Mbele anavyokata mawimbi kwa kuogelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…