dah!!!! hapo umenipatia, ila nani kamla pembeni pembeni au alikuwa anagoma kutoka kwenye kikaangio!!.
nitafutie dawa ya kuficha mvi!
Jina langu sijaliona ama kweli asiyekuwepo na lake halipo hahaha!jamani jamani, leo swaumu imekuwa kali sana, naomba yeyote mwenye picha ya samaki au kuku aniwekee hapa jukwaani au pm japo nikazie kazie swaumu..... nakazia tu maana jana nilipitiwa na usingizi sikula daku. cc Kaizer AshaDii amu sweetlady charming lady Asprin Madam B watu8 Smile Preta King'asti Nyani Ngabu Kongosho Caroline Danzi Malila Measkrom amu @figanigga Dena Amsi na wengineo wooooootee. NB. samaki na kuku tu staki maharage .
na hiyo mwaaah ni ya kukazia swaumu shemeg? lol. santeeeeeeeeee.
Hiyo ni mbuzi kiongozi, huku China ndio huwa tunapata hiyo kitu ktk restaurant za waarabu
kweli shemeji? kama wengine huwapi utakuwa mchoyo sana wewe. lol. yaani swaumu ishayeyuka.
nimechoka kuonekana kibabuha ha haaa
za wapi?
Hivi huwa wanaogopa hiyo kitu?