Jaribu hiyo usiposhiba useme.
umenikumbusha mihogo na magimbi mdogo wangu.....ha ha ha hutaki maharage,mihogo wala magimbi.
Tukiweka zile zenyewe si tutakuwa twaharibu swaumu za watu wengine atiiii....
Fixed Point unapenda mihogo eenheeumenikumbusha mihogo na magimbi mdogo wangu.....
kule kisarawe huwezi enda kunitafutia?
do the needful....
jamani jamani, leo swaumu imekuwa kali sana, naomba yeyote mwenye picha ya samaki au kuku aniwekee hapa jukwaani au pm japo nikazie kazie swaumu..... nakazia tu maana jana nilipitiwa na usingizi sikula daku. cc Kaizer AshaDii amu sweetlady charming lady Asprin Madam B watu8 Smile Preta King'asti Nyani Ngabu Kongosho Caroline Danzi Malila Measkrom amu @figanigga Dena Amsi na wengineo wooooootee. NB. samaki na kuku tu staki maharage .