Swaumu inapozidi

Sio kweli huyu hajafunga mbona kuna chupa tupu ya pespi pembeni? amechoka ama ni yale yale ya uzembe kazini!!
 
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky: no comment
 
Alikuwa ana kazia swaumu....Ukimstua hapo anaweza kimbia....lindo kwanza.
 
MziziMkavu,
Kwa jicho la haraka haraka kama picha ilivyo, hilo ni swala la uzembe kazini (iwapo huyo jamaa yuko kwenye malindo kweli). Kuuingiza Uislam na swaumu katika picha isiyoonesha vielelezo hivyo ndani yake ni kuleta udini jamvini. Si zaidi ya hilo!
 
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky: no comment
FirstLady1;

"No comment" is already "a comment in itself", hapo tayari umesha-comment mama yangu,.. au nakosea?
 
Mbona ana sura kama yaTido Muhando? Ni ndugu yake nini?
 
Huyu si yule babu pale Bamaga petrol station, anashinda kutwa kuzuia daladala zisipaki kwenye njia ya kwendea petrol station pale hahahahahaha
 
Huyu si yule babu pale Bamaga petrol station, anashinda kutwa kuzuia daladala zisipaki kwenye njia ya kwendea petrol station pale hahahahahaha
nadhani akishtuka usingizini atakuta daladala kibao zimeshapaki. Teh teh teh!
 
Huyu si yule babu pale Bamaga petrol station, anashinda kutwa kuzuia daladala zisipaki kwenye njia ya kwendea petrol station pale hahahahahaha
...Na kwa jinsi anavyojishughulisha pale kuelekeza magari lazima achoke. Makonda wa daladala walimpachika jina "msukule" wa waarabu wenye kituo cha mafuta ndio anayewaletea wateja...:becky::becky:
 
Ndo maana walinzi wengi wa mchana wanapenda kuvaa sunglasses...just incase!
 
Jamani hii picha ilikuwepo humu kabla hata ya mwezi huu wa Ramadhani?
 
Kweli waarabu walituchomekea. mpaka wenye biashara ya kitimoto wanalalamika kuanguka kwa soko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…