Swaumu inapokuwa kali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swaumu inapokuwa kali

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kakuruvi, Aug 1, 2012.

 1. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Teja moja liliambiwa ili ale futari aanze kufunga na yeye, ili asikose futari alianza kufunga siku inayofuata, ilipofika saa nane hali ikawa mbaya kwa kuwa hajazoea hivyo akaamua apige simu redioni kipind cha chaguo la msikilizaji, ikawa hivi

  Mtangazaji - Karibu msikilizaji tukupigie wimbo gani?

  Teja - (kwa sauti ya kiteja) ''nipigie wimbo wa adhana ya kufungua"
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ahahaaaa!.....nimecheka mno.
   
 3. KML

  KML JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwani kuna adhana ya kufungua
   
 4. Double K

  Double K JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  hahaaaaaaa kweli huyo teja:smile-big:
   
 5. Excel

  Excel JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18,888
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  duu! huyu kweli teja!
   
 6. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Imekaa vizuri
   
 7. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  yea bro....... adhana ya swala ya magharib ndio watu wanafungulia sema haina utofauti wowote na adhana ya sala zngne.....
   
 8. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,681
  Likes Received: 871
  Trophy Points: 280
  haiitwi adhana ya kufungulia, ni adhana kama adhana zingine za sala! Ingawa ktk mwezi huu kunakuwepo adhana 2 wakati wa alfajiri, ya kwanza ni wakati wa kula daku, ya pili kuashiria umwisho wa kula daku na mwanzo wa sala ya alfajiri! Ila hakuna adhana inayoitwa ya daku wala ya kufuturia!
   
 9. d

  danizzo JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh alosto ft swaum= Adhana teh! teh!
   
 10. salito

  salito JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Ah haha haha haha hahaha hahaha hahaha huyo teja ni balaa...
   
 11. Brine

  Brine JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 376
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nimecheka sana, vya bure vinagharama
   
 12. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Huwa bange ikikimbilia maeneo lazima patanuka tu
   
Loading...