Swari kuhusu play store kwenye cm za Android

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,480
2,000
Unaweza ndio, ila huwezi kuweka play store Kama dependency zake Kama vile Google play services, play framework etc hazipo. Hivyo angalia kwenye list ya app zako Kama hivyo vitu vipo.

Pia taja simu na Android version unayotumia.
 
Jun 6, 2019
40
95

Ina Android 7 inaitwa Samsung s3
 
Jun 6, 2019
40
95
Unaweza ndio, ila huwezi kuweka play store Kama dependency zake Kama vile Google play services, play framework etc hazipo. Hivyo angalia kwenye list ya app zako Kama hivyo vitu vipo.

Pia taja simu na Android version unayotumia.
Kuusu simu ilikua Samsung ila nikabadikisha mfumo was Samsung nikawa natumia linage android version 7 sasa mfumo huu auna auna play store na naitaji niwe NATO katika simu ila nikajalibu kudownload kawaida lakini inakataa
 
Jun 6, 2019
40
95
Unaweza ndio, ila huwezi kuweka play store Kama dependency zake Kama vile Google play services, play framework etc hazipo. Hivyo angalia kwenye list ya app zako Kama hivyo vitu vipo.

Pia taja simu na Android version unayotumia.
[/

Kuusu ivyo vtu vyote ambavyo umeanitajia mpaka uwenavyo ndio play store. Iweze kusapot havipo so navipataje mkuu
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,480
2,000
Mkuu hii njia angeroot kwanza simu ili aweze kurun kwa twrp na aweze kuflash .. ina uwezekano ikakubali au kukataa pia ..
Ana lineage Ina maana Tayari amesharoot na ana recovery, huwezi kuweka linegae bila kupitia hizo steps kwenye s3.
 
Jun 6, 2019
40
95
Asante sana kama nitafanikisha nitakwambia bro
Mambo VP bro Leo nimejalibu kudownload na Ku install kama ulivyoniambia nimeinstall na imeingia vzuri lakini baada ya kuwasha CMU ikawa inasema play store unsupported format na app zote ambazo zilikua katika lile file zikawa zinasema ivoivo kifup file like naona alija support I need to ask nitumie file lipi tena au nitumie njia gani ili play store I support . "naomba msaada ndugu"
 
Jun 6, 2019
40
95
Nim
Kwa lineage Nougat unatakiwa kuflash file la play store separate. Download hapa then flash na recovery yako.

https://opengapps.org/?api=7.1&variant=nano
Chagua
-Arm
-android 7.1
-pico
jal
Hqbari za Leo bro jalibu kufanya ivo na kuinstall imekubali lakini baada ya kuwasha app zote ambazo zipo katika ilo file zinasema unsupported format swali jeh nitumie file gain jingine au nitumie njiagani nyingine ili niwe na play store coz nimefanya kama ulivyo nielekeza lakini inaniambia ivo . "naomba msaada"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom