Swari kuhusu play store kwenye cm za Android

Nim

jal
Hqbari za Leo bro jalibu kufanya ivo na kuinstall imekubali lakini baada ya kuwasha app zote ambazo zipo katika ilo file zinasema unsupported format swali jeh nitumie file gain jingine au nitumie njiagani nyingine ili niwe na play store coz nimefanya kama ulivyo nielekeza lakini inaniambia ivo . "naomba msaada"
Sijasema u install kitu unatakiwa kuflash na recovery, unajua kuflash na recovery?
 
Hapana bro
Download Hilo file kisha hifadhi sehemu utajayouikumbuka kwenye simu yako. Mfano ieke folder la downloads ama alarm etc.

Hakikisha simu Ina chaji ya kutosha Zimu simu, bonyeza button ya kuongeza sauti, Home na Cha kuwashia simu kwa pamoja, ikitokea logo ya Samsung achilia Cha kuwashia simu huku bado umeshikilia Cha kuongeza sauti na home, simu itawaka kwenye recovery

Tegemea na recovery uliyo nayo nyengine hazikubali touch utafata maelekezo namna ya ku navigate Kama haikubali touch.

Utaenda install zip from SD card kisha utachagua directory ulipoweka like file kisha utainstall,

Reboot simu gapps zako zitaingia.

Sema kuwa makini wakati wa kudownload hakikisha ulidownload version ya Arm na sio Arm64 ama x86.
 
Back
Top Bottom