Swali

Swali

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
71,988
Reaction score
177,221
Heshima kwenu wakuu!

Naomba kuuliza swali kama uzi unavojieleza, hivi ni sahihi kwa mbaba kulala kitanda kimoja na bintiye mwenye umri kuanzia miaka 10?

Nina rafiki yangu wa kiume alidivorce na mkewe a decade ago. Katika ndoa yao walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike ambaye sasa ana miaka 12. Sometimes huyo binti huwa anaenda kwa mama yake and other time kwa baba yake.

Siku moja huyo baba alinikaribisha mahali anapoishi nami bila shaka nikapokea mwaliko huo. Huyo baba anaishi kwenye apartment flani hivi kwa nilivoona kuna chumba cha kulala kimoja chenye kitanda kimoja tu. Nilimuuliza binti yako anapokuja hapa huwa analala wapi? Akasema huwa analala nae kitanda kimoja.

Je ni salama na sahihi kweli?
 
wewe una mahusiano na huyo mbaba?
why usiumueleze its wrong?

watu wengi dunia hii hawajui vitu viingi sana

ndo maana wanasema 'common sense is not common'
 
wewe una mahusiano na huyo mbaba?
why usiumueleze its wrong?

watu wengi dunia hii hawajui vitu viingi sana

ndo maana wanasema 'common sense is not common'

Nop! ni rafiki tu mazee mpz wangu yupo mbonaaa hata ye anamjua!! Teh
 
Back
Top Bottom