Swali

GEoff leo umenichekesha ila mbona hadi umeamua kwenda page by page -kuna kitu unatafuta ili uhalalishe kwa MSHIKI nini?
 
hehehe!nikiongeza neno hapo nitakuwa mnaa!wakinamama wenye-serious commitments zao utawaona tu!SENKSI SENKSI SENKSI!....kasibitishe
 
cku hizi mie cjui ndio nazeeka, wala cmjali na licmu lake, azime awashe alalie chini ya mto atajijua mwenyewe, mwambie mdogo wetu aachane na cmu ya huyo huyo shem, akili zake azihamishie kwa hao twins wetu...mweh
mama hauzeeki!hiyo ni NATURE!...mtuache wanaume tudumishe milaaaz..adhawaisi nani atakayepumzika na ma-baamedi?πŸ˜€πŸ˜€

tunawashukuru sana wakina-mama...!MBARIKIWE

NIKO PAGE YA KUMI
 
Ni lini wanawake watajua kuwa waume zao wanawanyima kugusa simu zao kwa kuwa wanawapenda sana...........................???
 
HIVI WE MWANAMAMA...?!unaweza kuwa na muda nikukutanishe na mshiki umpe vyointi?πŸ˜€
 
kwaresma njema kiongozi....πŸ˜€πŸ˜€
 
Ni lini wanawake watajua kuwa waume zao wanawanyima kugusa simu zao kwa kuwa wanawapenda sana...........................???
duh nimekubali so na mie nawezaitumia kama njia ya kumwonyesha hubby jinsi ninavyompenda?
 
Yaani DC unefafanua ungekuwa umenitendea haki kweli kaka yangu please. It seems una elimu hapa umeibania

MJ1,

Kuna kipindi kimoja alionesha Oprah, kiliitwa; "Listen to your heart". Alikuwa anawahoji watu ambao waliona dalili za hatari kwenye mahusiano lakini wakadharau. Yaliyowapata ni makubwa. Kila kitu kina indicator signs. Na hii ya mshikaji wako ni mojawapo. Kwa hiyo hapo mambo yalivyo siyo mswano kabisa. Ningekuwa mimi ningemnunulia simu nzima isiyo na matatizo na charger ili tuone atasemaje. Kuna mengi zaidi ya charger na ukizingatia kuwa ni tabia iliyozuka ghafla. Plse mwambie mama achunge mzigo wake wa ndani kwa karibu. Mambo yalishaharibika siku nyingi sana. Hizi ni terminal signs. Wakurya wanasema kuwa "amang'ana gasirikire". Asifanye mchezo achukue hatua haraka.
 

Baelezee bandugu baelewe! Unaweza ukawa unashika na kupekua simu yake muda wowote unaotaka, mnashea usafiri wa kwenda kazini na kurudi nyumbani, lanchi mnakula pamoja, na jioni kwenye moja moto, moja baridi mko pamoja!

Halafu siku ya siku utakuja kusikia amezaa na mwanamke mwingine huko Tandika, kamjengea na nyumba! Utabaki unajiuliza huo muda aliupata wapi. Unasahau kwamba siku moja ina masaa 24 na mwaka mmoja una siku 365 na robo!!!
 
give us scientifically evidence to prove ur point... mie sipekui simu yake lakini doesnt mean I am OK with him screwing other women... πŸ™„ kama anafanya siri siwezi kujua lakini akianza dharau ya kinionyesha then its a totally different issue..
hakuna sayansi kwenye mahusiano...!chukua biblia takatifu au kuraan anza kuwasoma watu mule utachoka...!

KUANZIA IBRAHIMU,MPAKA DAUDI SOLOMONI N.K...!

kasome mabinti wa MOABU walichomfanya baba yao UTACHANGANYIKIWA!....

ACHANA NA SCIENTIFIC FINDINGS KWENYE LOVE BANA!love is life
 
sasa tunaweza kujadili kwa pamoja!nipo page ya 17...!lakini kila kitu kipo clear,na wakinamama wamekubali kunata na BEATS!geoff eeh,hebu angalia kilicho chako mezani pako rudi nyumbani
 
duh nimekubali so na mie nawezaitumia kama njia ya kumwonyesha hubby jinsi ninavyompenda?

Mimi nilidhani simu ya mtu ni kama jina lake au dole gumba lake, yaani its a personal property and has got nothing to do with anybody else. Nahisi katika vitu vyote, simu inawezakana ikawa siyo ''matrimonial asset''...(!?)

Wanaofanya kazi kwenye makampuni za simu watusaidie, je wakati wa kusajili namba za simu, kuna hata ''couple'' moja ilikwenda kusajili namba ya simu moja ajili ya watu wawili? Say ''Mr.& Mrs. Masaki'' (!?)
 
unajua chriss wewe una sheria fulani ngumu sana kama ni kweli upo serious ninayoyasomaga kwako...mie ungekuwa umeshanipa talaka zamanii....unavutia sana upande wako!

serious na key board tu kwa mama Matesha huu woote utani tu.....
 
Aksante nilijua tu kuna hazina iliyojificha kwenye post yako.

nyamayao, Carmel, bht, Kaizer na wengineo wote please hebu tutafakari upya. Muda wa kukaa na kuimba wanaume ndivyo walivyo umeshapitwa na wakati kwetu kina dada tutakuja angua vilio vya mbwa midomo juu machozi chini

Wakaka- Napend amjue kuwa si ufahari wala ushujaa kuchezea maisha yako, ya mama watoto wako huku ukihatarisha life za watoto wenu. Usichukulie kuwa mtiaji nje ndo ufahari no wewe kwangu ni kidume cha mbegu no matter how it comes so huhitaji kujustfy kwa watu wa nje kuwa we kidume

Madhara yake ni makubwa sana ikiwemo ugonvi na picha mbaya mnazoziacha nyuma mnapokuwa mmetangulia mbele za haki pale kina mama tunapoletewa watoto wa nje msibani.

Najua mtasema ukimwi hata siye tunawezakuwaletea nakubali lakini kama mlivyokubali kwenye thread hii mnahalalisha si vizuri.

Hivi X-pin uko tayari kumletea matesha wako kipenzi magonjwa ya zinaa pamoja na UKIMWI? Mtasema mkiwa nje mnacheza salama msitudanganye hapa
Geoff uko tayari kweli MSHIKI uliyemfungia safari hadi Makambako umtende ya kumtenda? Kina Kaizeer, n.k jamani fikirini mara mbili mbili

Kina dada- nyamayao, carmel, bht, charity, na wengineo kweli mtajisikiaje pale mtakapokuwa mmejitunza kwa uaminifu wenu ndani ya ndoa halafu ghafla maisha yanapinduka juu chini chini juu? Pale ambapo baba watoto anapoanguka ghafla ikagundulika ni AIDS imesababisha na wewe ukajikuta umeambukizwa. Wanao wanabaki wenyewe


Na mbaya zaidi unakumbuka zile signs ambazo ulikuwa unaonyeshwa ukapuuzia?
 

hahaaaaa huu sasa mzaha wewe!!!???
 
Kumbe hii mnaifahamu!! Iweje sasa cm zetu ziwe zenu na zenu ziwe zenu???
 

MJ1,

Suala la cheating linauma sana. Tena wanaume wakiibiwa wanaumia kuliko unavyoweza kuelewa. Lakini wanapoanza uchokozi ambao unaishia kwenye uzinzi nje ya ndoa, wakati mwingine mambo yanaanza kimzaha mzaha, ingawa kuna wale wanaonuia hata kufuata ma-CD. The bottom line is, "cheating is murder, no matter what".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…