MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
- Thread starter
-
- #141
Aksante nimekuelewaMJ1 mpenzi., mi msimamo wangu nimeshauweka kuwa huwa wote tunazima simu...na tukiwa mbali mbali ndo hatuzimi kwa vile nimmiss saa yoyote au dharuara basi inakuwa rahisi
na ikitokea kuwa inabidi izimwe unapeana taaria kabla. ssuala la kushika au kutoshika hilo ni jingine an anadhani haoa tumeshaliongelea sana..hapa ishu ni kwa nini simu izimwe usiku
na pi nilisema kwa vile anazima akiwa likizo kwa mkewe that is perfect kwa sababu anahitaji kupumzika.
.
mdogo wako anahitaji kuongezewa imani ya uaminifu kwa mumewe na yeye pia kujiamini. Mlete kwangu.
Sisters Carmel na nyamayao jamani yaani maisha ya ndoa kwa kweli nashindwa kuyaelewa. Unajua itafika mahali tutachoka nasi tuwe tunaharibu tu. Bora nyamayaio mwenzetu we alishakuelewa ulivyo so ujinga jinga hawezithubutu.
Geoff ndo picha niliyoipata hata mimi imenibidi niwe mpole tu na dunia yangu ya kufikirika!
unapotumia lugha hadhana ya kiswali kujadili muswaada huwa unanifurahisha sanaπwapwa na mabinamu mi nina mtizamo tofauti kidogo
Kimsingi sioni justifiable reason kwa nini mdogo wake MJ1 awe na wa wasi wasi na mumewe
Mi binafsi huwa nazima simu usiku....kuna watu wana tabia mbaya, wanakupigia hata saaa sita saa nane kukujulia hali sijui kitu gani kwangu huo ni usumbufu
na my wife wangu pia huwa anazima tunamwomba Mungu apishie mbali mabaya yote ya usiku huo, kama lipo tulijue asubuhi.
Hii ni kwa sababu ya kupata muda wa utulizu na my wife wangu. Ikitokea nimesafiri au amesafiri hapo simu iko jewani 24/7.
ndio maana simshanga huyu bwana. sana sana amsomeshe kuwa ni nzuri kwa afya ya ndoa yao. Na kamwe asidanganyoke kujitia kutaka kuichokonoa kama hana mazoea hayo kwa sababu itajenga picha mbaya kweli kweli.
MJ1, mpigie mdogo wako. Mwambie kila kitu kiko shwari unless kuna TATIZO jingine lakini kama ni hili tu, atulie. Amekwambia kama wanadumisha mila kama kawaida au kuna tatizo?
Mbona watu wanayatafuta matatizo huko yaliko jameni?
Wewe nitakupigia jioni kwa ajili ya hapo bolded and underligned...!inaonekana una mengi ya kuongeaπndio mana nikakosa la kusema dearest, MJ1 katokea huko huko lakini kashasahau mara.
wewe nadhani mshiki alikuwahi tu!adhawaisi NINGEKUWOWA!i like them totooz of your type...!PAMOJAAZmay be ppl are different but I wouldnt really worry if his phone is off actually I prefer his phone to be off whenever I am with my guy... so if he put it off for me I really appreciate that...
Aksante nimekuelewa
hapo kwenye nyekundu , ngoja narudi kusoma tena!
Hahhaha visokorokwinyo babu ahUkishaukubali ukweli huu utaishi raha mustarehe ndani ya ndoa. We kazi yako inakuwa kumkumbusha mzee kila siku asubuhi. "Leo ukipata......Nimesahau lile neno lako.... kichakubimbi tafadhali hakikisha unatumia kondom"
MJ1 huwa ana dunia yake ya kufikirika (kama anavojisemea mwenyewe)
lakini tukija kwenye ulimwengu halisi tuishimo KUWAACHA WANAUME WADUMISHE MILA KADRI WATAKAVYO ndo maisha....
Ufukunyuku huo tena. Ukimpata utaona ni kwa nini sitaki kuwa rafiki wa MSHIKI wake X-pinWewe nitakupigia jioni kwa ajili ya hapo bolded and underligned...!inaonekana una mengi ya kuongeaπ
page ya sita bado
kumbe wanachama tuko wengi eeh?Haswaa, kwanza inaongeza contration kwenye mazungumzo na malavidavi kati yenu!
Sheria yangu ngumu zaidi uliyoiona? Yule mama mbona hajawahi tandikwa kibao? Unataka niwadanganye. Ukweli ndio huo. Mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. Na Mke ni Mali Halali ya Mumewe. Ukishakubali UKWELI huu, Yaani UKWELI MTUPU, ndoa wala haitakusumbua. Wala hutahangaika kupekua simu ya hubby wako. Mtaishi raha mustarehe.
anazimaga akiwa na wife luv...tena akija LIKIZO
...ndo maana nimesitisha plan yangu ya kukukutanisha na mshiki!utamshauri anishikie kisu bureeeeeeeπMWenzangu nilifikiria ni mimi tu nilifanyaga bad choice kumbe .........Ama kweli sifai tena kuwa mshauri wa ndoa
MJ1,
Mwambie aombe ile sala yetu ile....
''The prayer of serenity''
''Dear Lord, give me the serenity to accept the things I can not change, the strength to change the things I can and the wisdom to know the difference''.
Nasi wote tutaitikia AMEN!
NIMEKUGONGEA SENKSI kwa huo mstari maridadi kabisa...!mimi ni mali kila mtu.ndo maana bia zangu nakunywa CHAWOTEπSasa mshiki ndo unamtosa tena? Asije akajidanganya Geoff ni mali yake mwenyewe!
Yaani DC unefafanua ungekuwa umenitendea haki kweli kaka yangu please. It seems una elimu hapa umeibaniaKaizer ple....ase. Usilete mchezo wa kuwaachia watoto wacheze na visu tena vilivyonolewa na wale jamaa wa machinjioni. Hapa mahali siyo salama. Siyo tene yellow light, red imewaka kabisa. Ni hatari kuliko unavyoweza kudhania!
kheeeeee leo utasoma kiarabu mzee mwenyewe....tumekuacha lakini u r catching up!!nakupata dadaake mimi!SENKSIπ
Ukishaukubali ukweli huu utaishi raha mustarehe ndani ya ndoa. We kazi yako inakuwa kumkumbusha mzee kila siku asubuhi. "Leo ukipata......Nimesahau lile neno lako.... kichakubimbi tafadhali hakikisha unatumia kondom"
NIMEKUGONGEA SENKSI HAPOOOOO!...acheni wanawake waitwe wanawake banaaha.. i never thought of that but then I would respect his privacy I guess... u know I wouldnt like it either if he started going through my stuff...
Beleave me if man or woman wanna cheat no one gonna stop them but still we should always try to trust our partners... I beleave that a cheater can not cheat all his life without been caught.and even if we catch our boys cheating we will do smthng to forgive them..