Swali

Swali

Duh ngoja nimcal nimwambie aachane nayo mambo ya simu kuzimwa maana anawezapata presha bure!! Mie naye kujifanya mnoooooko nakaba hadi kivuli ah

Babu X-pin mie siolewi ng'o kama mabo yenyewe ndo haya
 
mhhhhh......

umeona eeeeeh!!! supposedly inatakiwa kuwa hivyo lakini je ndiyo hali halisi ya wenye ndoa zenu???? wat ana imaginary life mweee!!! (kila mmoja hutamani ndoa yake ingekuwa hivo lakini wapi)
 
Basi mimi ninaishi dunia ya kufikirika mwenzenu!! na magonjwa haya yaliyopo? itanichukua muda kweli kuafikiana na hii but it seems ndo art

Basi utaishi dunia ya upweke sana. Asilimia kubwa ya wanaume tunacheat. Mwambie afuate nyayo za mama matesha, amkabidhi box la kondom afu amwambie unapoenda kumega hivyo vichakubimbi vyako tafadhali tumia hizi silaha. Kwa kinga zaidi avae mbili na kumeza moja lisaa limoja kabla hajafanya matusi yake.
 
Duh ngoja nimcal nimwambie aachane nayo mambo ya simu kuzimwa maana anawezapata presha bure!! Mie naye kujifanya mnoooooko nakaba hadi kivuli ah

Babu X-pin mie siolewi ng'o kama mabo yenyewe ndo haya

hapo kwenye red......naomba niwe mpole!!!!
 
Baba Enock leo umeamkia upande gani? Maana nondo unazotoa zimekwenda shule haswa.

Nakubaliana na wewe but yeye anaumia kwa kuwa anasema mbona akiwa yuko mokoani huko mumewe hazimi simu na ni mara nyingi tu yeye huwa anampigia simu na kukuta iko on pamoja na kuwa huwa hapokei!!

Mimi nadhani kuna umuhimu wa kuresearch athari za simu za mikononi kwa wanandoa ili hata tukikatazwa tuwe tuna reference lol.

Ila inatia dukuduku hasa unapoanza kuhisi kuwa mwenzio kabadilika!!

Nimeamkia nyumbani - Ni mambo ya Kwaresima - Wiki Nzima nikitoka kibaruani nyumbani - nina muda wa kutosha kukaa na "my wife"!

Well well - Simu za mkononi zime facilitate "infidelity" - otherwise haya mambo yalikuwepo na yataendelea kuwepo - mwanaume anapokuwa mbali na mke wake for extended period of time, there are very high chance ya ku-"cheat" : i.e. kufanya mahusiano na mwanamke mwingine - sina uhakika kuhusu wanawake!

Kwa mantiki hiyo - kama mume yupo Singida kikazi kwa mwaka mzima say, na mke yupo Bunju - Dar na familia, LAZIMA mwanamume huko Singida anapofanya kazi na kuishi atakuwa na mahusiano (siyo lazima ya kimapenzi) na wanawake wengine - could it be wa ofisini kwake or mtaani anapoishi. Kumbuka kwamba, wanawake (makuhadi) hupenda sana kuwa na mahusiano na wanaume wenye ndoa!

Sasa either ana-cheat au ni mahusiano ya kawaida tu (mnakunywa wote BIA jioni) na wanawake huko ankofanya kazi, lazima wale akina mama watataka ku-flirt pindi anapokuwa amerudi likizo kwenye familia yake. SMS na "Please Call Me" zitakuwepo TU na what I can predict ni kwamba huyu mwanamume ana-avoid watu wa aina hiyo!

So as Balatanda pointed out kwenye post hapo juu : ni vyema mdogo wako aka-apply "The Ostrich Algorithm" hili kumuhakikishia mwanaume anakuwa na likizo njema na familia yake.

Ostrich algorithm:
To stick your head in the sand and pretend that there is no problem
 
Basi utaishi dunia ya upweke sana. Asilimia kubwa ya wanaume tunacheat. Mwambie afuate nyayo za mama matesha, amkabidhi box la kondom afu amwambie unapoenda kumega hivyo vichakubimbi vyako tafadhali tumia hizi silaha. Kwa kinga zaidi avae mbili na kumeza moja lisaa limoja kabla hajafanya matusi yake.

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yeomiiiiiiiiiii !!!!!
 
Duh ngoja nimcal nimwambie aachane nayo mambo ya simu kuzimwa maana anawezapata presha bure!! Mie naye kujifanya mnoooooko nakaba hadi kivuli ah

Babu X-pin mie siolewi ng'o kama mabo yenyewe ndo haya

Kitukuu kimoja hakinitoshi mjukuu wangu. Sasa utafanyaje na mi babuyo bado nahitaji vitukuu?
 
MJ1 unamaanisha nini kusema AWE MAKINI? Ampige chini au avumilie au aanze kutumia kondom? Hizo si DALILI za kuchitiwa. Ni kwamba anachitiwa tayari!

Kuwa makini Babu namaanisha kama alikuwa anamwamini mumewe kupita kiasi aweke coma kwanza na achunguze further ili ajue jamani magonjwa yaliyopo kisa cha kuacha watoto (tena ye anao mapacha) bado wadogo??

Akisahajua nyendo za mwenzake ampe live kuwa najua unatembea na so and so ... ikiwezekana waanze kujikinga ah mi hata sijui afanyeje
 
Kitukuu kimoja hakinitoshi mjukuu wangu. Sasa utafanyaje na mi babuyo bado nahitaji vitukuu?
Ahhaa babu si una wajukuu wengine? Kina nyamayao, carmel n'k mie kwangu ndo nimemaliza babu
 
Achaneni na cm za waume zenu nyie akina dada.
Kama hamuamini, hebu PM nitakueleza ubaya wake. I have been there.
 
Baba Enock leo umeamkia upande gani? Maana nondo unazotoa zimekwenda shule haswa.

Nakubaliana na wewe but yeye anaumia kwa kuwa anasema mbona akiwa yuko mokoani huko mumewe hazimi simu na ni mara nyingi tu yeye huwa anampigia simu na kukuta iko on pamoja na kuwa huwa hapokei!!

Mimi nadhani kuna umuhimu wa kuresearch athari za simu za mikononi kwa wanandoa ili hata tukikatazwa tuwe tuna reference lol.

Ila inatia dukuduku hasa unapoanza kuhisi kuwa mwenzio kabadilika!!
Mimi nadhani akiwa mikoani huacha simu wazi ili aweze kuwasiliana vema na mwenzi wake. Sasa akiwa hapo home, haoni umuhimu huo kwa kuwa wanakuwa pamoja.
 
hii Kasheshe kwanini huyu mwanaume awe na hofu na mashaka na simu yake ..ni kweli kuna tatizo ,mwanamama amuulize mmewe vizuri apate jibu la kueleweka
Hizi ndoa zina mambo !
 
Nimeamkia nyumbani - Ni mambo ya Kwaresima - Wiki Nzima nikitoka kibaruani nyumbani - nina muda wa kutosha kukaa na "my wife"!

Well well - Simu za mkononi zime facilitate "infidelity" - otherwise haya mambo yalikuwepo na yataendelea kuwepo - mwanaume anapokuwa mbali na mke wake for extended period of time, there are very high chance ya ku-"cheat" : i.e. kufanya mahusiano na mwanamke mwingine - sina uhakika kuhusu wanawake!

Kwa mantiki hiyo - kama mume yupo Singida kikazi kwa mwaka mzima say, na mke yupo Bunju - Dar na familia, LAZIMA mwanamume huko Singida anapofanya kazi na kuishi atakuwa na mahusiano (siyo lazima ya kimapenzi) na wanawake wengine - could it be wa ofisini kwake or mtaani anapoishi. Kumbuka kwamba, wanawake (makuhadi) hupenda sana kuwa na mahusiano na wanaume wenye ndoa!

Sasa either ana-cheat au ni mahusiano ya kawaida tu (mnakunywa wote BIA jioni) na wanawake huko ankofanya kazi, lazima wale akina mama watataka ku-flirt pindi anapokuwa amerudi likizo kwenye familia yake. SMS na "Please Call Me" zitakuwepo TU na what I can predict ni kwamba huyu mwanamume ana-avoid watu wa aina hiyo!

So as Balatanda pointed out kwenye post hapo juu : ni vyema mdogo wako aka-apply "The Ostrich Algorithm" hili kumuhakikishia mwanaume anakuwa na likizo njema na familia yake.

Ok so hii inakuwa applicable kwa pande zote? Wife naye awe anazima?

Kwa nini asiache tu ila awe na explanations za kuconvince?
 
Kuwa makini Babu namaanisha kama alikuwa anamwamini mumewe kupita kiasi aweke coma kwanza na achunguze further ili ajue jamani magonjwa yaliyopo kisa cha kuacha watoto (tena ye anao mapacha) bado wadogo??

Akisahajua nyendo za mwenzake ampe live kuwa najua unatembea na so and so ... ikiwezekana waanze kujikinga ah mi hata sijui afanyeje

Akimchunguza na akijua ni kweli jamaa ni lijogoo la shamba?
Mj1 amka mama! Mambo tayari hapo wewe! Tayari too late. Mwambie mdogo wako anunue box la kondom!
 
Basi utaishi dunia ya upweke sana. Asilimia kubwa ya wanaume tunacheat. Mwambie afuate nyayo za mama matesha, amkabidhi box la kondom afu amwambie unapoenda kumega hivyo vichakubimbi vyako tafadhali tumia hizi silaha. Kwa kinga zaidi avae mbili na kumeza moja lisaa limoja kabla hajafanya matusi yake.

Hahahahhaha nimecheka sana babu

Hapo kwenye red -inadhihirisha kabisa kuwa hii imetoka kwa Bibi, wewe mwenyewe ungelipata wapi hilo neno?

Sikuhizi vinaitwa visokorokwinyo.
Hiyo dose nimecheka kwa nguvu hadi nimepaliwa na mate babu
 
Ok so hii inakuwa applicable kwa pande zote? Wife naye awe anazima?

Kwa nini asiache tu ila awe na explanations za kuconvince?[/QUOTE]

application on both sides is impossible hiyo itakuwa kwa mama tu kwa kuwa anajua she is clean

kwenye red zitatoka wapi hapo wakati mazingira yanaashiria kuna tatizo hapo?? ni ngumu sana...
 
Back
Top Bottom