Mpenzi Mbu nimekuwa nikikutarajia tangu asubuhi mpenzi haya imekuwaje leo?
Tafadhali naomba upitie post za Darck City kwanza then utaona concern yangu darling
(Kaizer habari?)
...
Je mkeo/mumeo akifanya hivi utafikiriaje?
2. Kafanye nini kutoa huu wasi wasi wake?
Best (and my personal advice), never ever do it. But if you can't stand the temptation then take that option (red). We always see what we expected to see. If no signs, then you partner is as happy as an angel. Some of us might be in that corridor.
But believe me, it is very safe, really safe for your feelings and your health as well!
humu humu tu shemeji.....BTW hw r u?
hapo kuna walakini kabisa................!?Baba Enock leo umeamkia upande gani? Maana nondo unazotoa zimekwenda shule haswa.
Nakubaliana na wewe but yeye anaumia kwa kuwa anasema mbona akiwa yuko mokoani huko mumewe hazimi simu na ni mara nyingi tu yeye huwa anampigia simu na kukuta iko on pamoja na kuwa huwa hapokei!!
Mimi nadhani kuna umuhimu wa kuresearch athari za simu za mikononi kwa wanandoa ili hata tukikatazwa tuwe tuna reference lol.
Ila inatia dukuduku hasa unapoanza kuhisi kuwa mwenzio kabadilika!!
hapa tutaongea simu,imeisha charge ...sijui ikazimwa,sijui ikapelekwa uvunguni mwa kitanda swala zima katika ndoa /mahusiano ni uaminifu
sidhani kama kuna upande ambao utapenda kuibiwa .
Uaminifu ni jambo kubwa na la msingi.
Ukiwa mwaminifu - utakuwa free na simu yako
Ukiwa mwaminifu- hutamfikiria mwenzio mabaya
Ukiwa mwaminifu- utaishi kwa amani siku zote
Aksante mama!hapa tutaongea simu,imeisha charge ...sijui ikazimwa,sijui ikapelekwa uvunguni mwa kitanda swala zima katika ndoa /mahusiano ni uaminifu
sidhani kama kuna upande ambao utapenda kuibiwa .
Uaminifu ni jambo kubwa na la msingi.
Ukiwa mwaminifu - utakuwa free na simu yako
Ukiwa mwaminifu- hutamfikiria mwenzio mabaya
Ukiwa mwaminifu- utaishi kwa amani siku zote
Inaweza ikawa kichekesho kwa wengi hapa,hasa ukichukulia wanaume kwa wanawake tunajuana fika tabia zetu.
Ila ushauri wangu ni huyo ndugu yako asifikili vibaya ama mabaya,anachotakiwa afanye ni kuongeza UAMINIFU kwa huyo mwenza wake,yaani asitiliye shaka au hata kama anashaka shaka na tabia mpya ya huyo mwenza wake basi ajaribu kuficha hizo hisia zake na achukulie na kumuonyesha huyo muhusika kwamba yeye hajari na ni kawaida weither ana zima ama kuwacha wazi.
Nakuhakikishia this works,mabadiliko utayaona hata kama itachukua muda basi lakini lazima mabadiliko yatakuwepo.
Mtazamo wangu mimi kuhusu simu ya mkononi unabaki pale pale;
Simu ni kama cheti cha kuzaliwa, hakichangiwi;
Simu ni kama kadi ya kupigia kura, haichangiwi;
Simu ni kama kitambulisho cha uraia, hakichangiwi;
Simu ni kama alama za dole gumba, hazifanani na za mtu yeyote hata awe pacha wako!!
Nitaendelea..........!!!!
Mwili wa mtu ni personal property, tena zawadi kutoka kwa Mungu, unachangiwa! Vipi hapo? Kipi ni muhimu kati ya hayo?
bht DC mie nimemvulia kofia ya heshma yaani namweshimu kupita upeo.DC....ulikuwa wapi wewe lakini
anyway better late than never!!!
bht DC mie nimemvulia kofia ya heshma yaani namweshimu kupita upeo.
HhahahaMvulie DC kofia, babu yako nivalie.
Mheshimu DC, babu yako unipende.
Mi na wewe ni kitu kimoja. Nipigieeeeeeeee!
bht DC mie nimemvulia kofia ya heshma yaani namweshimu kupita upeo.