Swali

Blackman

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
827
296
Jamani hivi rada ni kitu gani tokea mwaka jana nasikia tu ununuzi wa rada ununuzi wa rada nisaidieni
 
Acheni bwana hivi ni vidonge wanatumiaga mafisadi wakipata sukari kubwa
 
Mkuu watuaibisha mwana hata hii hujui? Ok, hii ni mashine ya kunyanyulia matiti ya kina dada zetu yaliyosinzia. Hope utakuwa umeelewa.
 
Back
Top Bottom