Hivi ni kweli kile kitufe cha Like kinatumika kum notify mtu umechangia post yake? tehe tehe.
Personally matumizi yake....
- Post ikiwa na a rich, deep, logical insight....
- Member ambae siku zoote yeye ni short phrases... siku hio akienda beyond, i am so proud of the member...
- Tupo katika discussion then niliyekua najadili nae akawa na final say nimeikubali...
- And if i just like the post...
- Post ikinichekesha ikanifanya nichekee this machine i am using...
- Kama nipo katika "utani mode" na mtu ambae tuko kwenye thread...
- Kama thread imepitwa saana na member aliniquoute bila my knowing... natoa like kua ujumbe umefika...
- e.t.c....
Mimi kila nikijiskia boring nagonga kitufe cha like, pia kinasaidia kuondosha stress.
Lol, kama nilivyofanya hapo AD, you a GT for real. Love you mamie
ha ha ha ..... your LIKE imenifanya nirudi kwenye thread.... And I am not Dissapointed....
Bombu kumbe mkorofi eeeh?? lol Love you too... nawe nimekupatia ... hapa naona imetumika kama
Ku-Like the post, na "utani mode" - ndo nagundua like moja yaweza kua na sababu nyingi...lol
heheheeee, mie si mkorofi dadangu, ujue nimeyasoma maelezo yako hapa juu nikagundua kweli umefikiri a kulipa uzito swali la Vivi, na umelidadavua. naona umelike the like, lol
Weee Topic za Vivy acha tu... mara nyingi za mzaha but kweli ndani yake....
And yes dear i did like the like.... post yako ilinifanya nichekee this machine of mine...lol
You know ndo maana watu tumefall in love na hizi machine zetu ati, they help us release our stresses.
Viv baada ya kitufe cha thanks kupotea katika mazingira ya kutatanisha hii like ina matumizi kadhaa, 1.umependa lilichoandikwa, 2. unasubiri jibu, 3. inatumika pia ku-poke kama facebook.
OFF TOPIC: mbona hujatokea Double View,halafu signature kama inapinga Laga sasa ulitaka tunywe juisi tukikutana ?
Ashadii leo unafuturu wapi?
Hahaha! hapana ile ni mvinyo tu hata chachi ipo,kama hivyo nafuta kauli ya awali lol!Hivi wine kwani ni pombe?
Asante Ashdii, see you Keshoo. Futari njema