Swali?

Personally matumizi yake....
  • Post ikiwa na a rich, deep, logical insight....
  • Member ambae siku zoote yeye ni short phrases... siku hio akienda beyond, i am so proud of the member...
  • Tupo katika discussion then niliyekua najadili nae akawa na final say nimeikubali...
  • And if i just like the post...
  • Post ikinichekesha ikanifanya nichekee this machine i am using...
  • Kama nipo katika "utani mode" na mtu ambae tuko kwenye thread...
  • Kama thread imepitwa saana na member aliniquoute bila my knowing... natoa like kua ujumbe umefika...
  • e.t.c....

Absolutely!! Hapo kwenye red naomba pasomeke Generally maana na mimi ndivyo navyojua matumizi sahihi ya iko kitufe..... kubwa ni kama unasema I agree with you!
 
Absolutely!! Hapo kwenye red naomba pasomeke Generally maana na mimi ndivyo navyojua matumizi sahihi ya iko kitufe..... kubwa ni kama unasema I agree with you!

If you read between the lines you concur with me too Dadiito.
 
Back
Top Bottom