Watoto bwana huwaga na maswali meengi ambayo yanaumiza kichwa ,hebu tumsaidie kujibu baadhi ya hayo maswali :-
1-kwanini stering ya magari haipo katikati ?
2-kama ng'ombe anatoa maziwa ,kwanini mbuzi hatoi chai ya rangi?
3-kwanini binadamu anatembea kuelekea macho yanapoangalia na si kurudi kwa reverse?
4-eti haijawahi kutokea mtu akarefuka kwa kimo kuelekea chini mbona wanaelekea juu au kuna -ve gravity?
5-dunia inazunguka au jua linazungukwa?