Swali: Tenki lipi litawai kujaa?

Swali: Tenki lipi litawai kujaa?

Namba 5

Watu wengi hawaoni kuwa 4 na 6 njia zimeziba halaf namba 3 litaanza kuingiza kabla ya namba 2 kwahiyo namba 7 litachelewa kupata maji
 
Ukijibu bila mikurupuko yeyote kama ilivyo desturi ya watanganyika wengi basi na 5 ndio ya kwanza kujaa ila ukikurupuka tu lazima useme 4 ,samahani lakin sija mlenga mtu.
Dah! Hata mi harakaharaka niliwaza 4 ila baada ya kusoma post yako nimenote namimi ni cup no 5!
 
Duuuh.....UMEKURUPUKA vibaya, ila usijali hii ni awamu ya WAKURUPUKAJI.

Namba 4 itatangulia kujaa kabla ya nyingine zote.

Outlet ya namba 1 kwenda namba tatu iko chini kuliko kwenda namba 2. Na ukizama zaidi, kama hamna jinsi ya ku-contain kimiminika hicho kwenye namba 3, basi upande wa namba 2 hautapata kitu.
Angalia tena vizuri utagundua ni 5 na si 4
 
Nataka kuona ukitengua Kauli yako....
Binafsi naona 5 ndo litafuatia kujaa baada ya 4...

Thibitisha kwa nini 5 liwe kwanza?
Angalia vzur njia ya kujaza 4 imefungwa, litajaa Hewa tu
 
Aisee namba tatu ndo litawahi kujaa. Hapo mpira unaotumika kupeleka namba tano kumbe nao umziba mbele.. (Hili wenge la kujibu fasta)
Duuuh....sasa kwanini wameziba hizo njia lakini??? NIMEKURUPUKA MBAYA
 
Hahahhaaaaaaa watanganyika bwana sijui nani katuloga hakika , blah blah nyiiingi wakati hakuna umakini wowote NAENDELEA KUSISITIZA WAKURUPUKAJI LAZIMA WASEME NAMB 4 KAMA WEWE
Kweli NIMEKURUPUKA aiseeee.
 
Hahahhaaaaaaa watanganyika bwana sijui nani katuloga hakika , blah blah nyiiingi wakati hakuna umakini wowote NAENDELEA KUSISITIZA WAKURUPUKAJI LAZIMA WASEME NAMB 4 KAMA WEWE
Eeeh! Yamekua hayoo....!
 
Back
Top Bottom