Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
- Thread starter
- #41
Kama aliyepata chumba # 11 alikuwa ni mtu wa 12 kupata chumba,then yule aliyetolewa chumba # 1 na kupelekwa chumba # 12 alikuwa ni mtu wa 13 kupata chumba!Jibu ni kwamba mtu wa 13 hakupewa chumba yaani baada ya mtu wa 12 kupewa chumba #11 mtu wa 13 aliyebaki hakupewa chumba #12 kilichobaki na badala yake akapewa mmoja kati ya wale wawili wa chumba #1 na hivyo mtu wa 13 hakupata chumba.