Tambara Bovu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2007
- 585
- 141
Sitegemei Miungu wengine!
Siamini Kama Pete huweza kusababisha bahati labda kuwe na nguvu za Giza!!
JK kama ni member humu au Sheikh Yahaya wanaweza tujuza.... JK anaweza atoe ushuhuda maana anayo mkono wa kulia, Sheikh Yahaya anatangazaga kuhusu hizo pete...... Mwisho wa siku ni imani uliyonayo..... ndio maana Kibatara - Uganda alichoma waamini akiamini anaenda mbinguni, wengine ni martyrs wanaua wakujia pepo hii hapa kwa kuua wanaowaua.... Wengine wanatembea na watoto/ndugu zao (incest) wakijua utajiri huu hapa.... etc
Huo ni ushirikina hakuna tofauti na wavaa hirizi, ni sawa sawa na kuabudu miti tu.
Utasikia mengi tu!Halafu hizo ishu za pete nishawahi kuzisikia. Tena
Nasikia huwa zinapumua kama binadamu. Khaa!
Jaman hebu waacheni hao watu waendelee kuvaa hizo pete maana kuna nuksi nyingine inabidi uvalie na cheni kabisaaa .heri yangu mie nuksi sina,hao wabaya hawaniwezi,wachawi wanankimbia na bahati ninazo mpaka zimepitiliza.sijui hata km ningekuwa na hizo pete ningepata muda wa kuzivaa saa ngapi,maana hii mibahati nliyonayo mmh ..
Wapi hujaelewa?Elezea kwa kina ueleweke
Hua najiuliza maswali hata sipati majibu!
Hapo kwenye hizo alama za nyota mbona hamjaelewesha wengine....ni nini maana ya ushirikina?
Na hiyo maana uieleze kwenye imani ipi?
Maana duniani kuna nyingi imani.
Ndio tuanze kufafanua.
Hirz(prevention)=kinga.
Nguo zako unazozivaa pia ni hirz=kinga.
Jamani muwe mwafafanua vzuri si wote ni mambumbumbu!!!!lol.
Kwanini?uSIJARIBU KUZIVAA HATA MARA MOJA
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguuvu,msaada utaonekana tele wakatii wa maateesoo...nipo church napeleka ibada mi sipo huko.
Vizuri utuwekee andiko unalonukuu.amen
amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu amfanyaye binadamu kinga yake