Swali muhimu.

Swali muhimu.

yah kama ni mtu anaefahamu kwamba huyo ni mamaako halafu bado anatembea nae ni dhahiri kwamba lengo lake ni kukudhalilisha. ilimtokea Lebron James, teammate wake alitembea na mamaake. si jambo jema hata kidogo.
mkuu tunamzungumzia MTU aliekuletea taarifa kwamba BI mkubwa wako amelala na mwanaume mahala Fulani utachukua hatua gani?
 
mkuu tunamzungumzia MTU aliekuletea taarifa kwamba BI mkubwa wako amelala na mwanaume mahala Fulani utachukua hatua gani?
inategemea na jinsi alivyokuletea hizo taarifa. kama kakwambia kistaarabu na kwa usiri basi hajafanya vibaya. ila kama kaongea kwa kukubeza flani hivi basi sio mtu mzuri.
ila taarifa ni muhimu kupewa kwasababu mwisho wa siku utakuja kulaumu "kwahio washkaji walikua wanajua halafu wamekaa kimya tu wananchora"
 
Back
Top Bottom