Bwana Banzi
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 464
- 251
Mweee...! Mbona rahisi, unasema hivi " kaka zangu wana wanawake" kwishney kalegaKaka yako akioa unasema "kaka yangu ana mke"
je kaka zako wakioa utasemaje?____________.

wewe kachunge ng'ombe huko
Ya kijiweni sana hii!Kaka yako akioa unasema "kaka yangu ana mke"