Ni kati ya sehemu chache hapa Dar zenye wenyeji wengi. Kuuza kiwanja ili tupate hela ya kumcheza mtoto huku ni kawaida sana. Huku ukiniudhi sikupeleki kwa mjumbe, nauza simu, hela nakodia matarumbeta tunakuja kwako kukuchamba. Chezea sisi wewe.
Tuwe scientific, mbagala wanakaa majority ya watu toka wapi? majority ni kutoka Lindi na Mtwara! Kuna nini huko kusini? Manzese kulikuwa na makabila yote ya tanzania, vituko, ushenzi wote ulikuwa manzese! tafakari