Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

Mkuu rejea thread niliyochoandika usidokoe baadhi ya sentensi kila mara huwa napenda kuwaeleza hili watu,
 
Hivi elimu kuhusu majini(mashetani,malaika waovu) sie binaadamu tumeipata wapi? maana huwa tunawaelezea sana hao viumbe kuanzia maumbile yao na mambo yao mengine yote,ni wapi tumeyajulia hayo mambo ni kutoka kwao wenyewe au tumejifunzia wapi?
Mkuu, elimu ya majini ipo na inapatikana pia kwenye hadithi za mitume na uwepo wao umetajwa kwenye vitabu vya dini, na kumbukumbu za watu waliowahi kuwaona

Rakims
 
Ndugu Rakims...

Recently nimekua nafatilia sana fraternal groups au tuite hizi brotherhoods ambazo unakua initiated na kupata pesa..unakua miongoni mwao..
Does they real exists kweli ?? Na wapo wa kweli ?
Ndio mkuu wapo,
 
Kama vile Kupaaa kumgundua m2 mbaya au mzur na kujuwa ki2 kabla m2 ajaongea pia Ku control vi2 kama maji ivo vyote nafanyag ndotoni nauwezo wakufany chochot kule tofaut na huku nataman cku moja nifany mambo ya ndotoni kweny ulimweng huu
Kupaa ni ngumu dhahiri ila invisible ni rahisi, kumgundua mtu mbaya unaweza vizuri tu, kucontrol maji kama jina la huyo bwana hapo inawezekana lakini unakuwa na msaada wa roho nyingine za mazingaombwe. Unless upo karibu sana na mwenyezi mungu,

Rakims
 
Rasik=== Rakims???
 
Mungu kwa nini atuwekee mtihani(shetani) ilhali ametuumba yeye na ni dhahili anajuwa uwezo, udhaifu na uimara wa uumbaji wake aliomjalia bin-adamu ?
Anamuacha kwa maana kaisha zungumzia kwenye vitabu vyake kuwa huyo kamuumba kama mtihani kwetu ambao anatupima kwake mkuu, kutokana na kuasi kwake
 
Mkuu naomba ktk kuzielekeza nyuzi zako za nyuma. Fanya kuattach links zake
 
Nielekez jinzi ya kumsoma m2 mkuu ni2mie njia gan na iyo invisible pia inafanywaje
 
Mkuu, elimu ya majini ipo na inapatikana pia kwenye hadithi za mitume na uwepo wao umetajwa kwenye vitabu vya dini, na kumbukumbu za watu waliowahi kuwaona
Rakims
Tatizo sio uwepo wao bali hayo maelezo(elimu) yenye kuwahusu wao. Mfano asili yao,maumbile yao na mengine kuhusu wao.
 
Ikiwa hivi ndivyo! Ni kwa nini basi mitume wengi hawa kuwa na pesa na ili hali wao wana nguvu za kiroho za hali ya juu?.
 
Mungu kwa nini atuwekee mtihani(shetani) ilhali ametuumba yeye na ni dhahili anajuwa uwezo, udhaifu na uimara wa uumbaji wake aliomjalia bin-adamu ?
Katika kuumba mwenyezi ameumba viumbe aina 3:
1:malaika
2:wanyama
3:Majini na wanadamu

kuna malaika wasiona hiari wanafanya kile alivyoamrisha mwenyezi mungu, pia kuna wanyama ambao hawana akili na kuna majini na watu ambao Mungu kawapa akili na hiari na matamanio, kisha akawaletea mafundisho akawaonyesha njia mbaya na kuwakataza kuifuata na akawaonyesha njia nzuri akawaamuru kuifuata kwa hivyo hiari ya mtu ndio inampeleka anakotaka ukiamua kuwa mwema utalipwa mema na ukiamua kuwa muovu utalipwa maovu na maisha ya mwanadamu ni mtihani

Shetani pia hakuumbwa ili awe ni mtihani hapana yeye ni katika kundi la tatu hapo alipotea na akaona asiondoke peke yake bali apate wafuasi mkuu, mtihani kwetu ni Ulimwengu

Rakims
 
Nielekez jinzi ya kumsoma m2 mkuu ni2mie njia gan na iyo invisible pia inafanywaje
Tembelea blog yangu nilishaelezea yote hayo mkuu
Bonyeza hapa:


Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…