Kapyepye Mfyambuzi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 542
- 918
Kweli kabisa mkuu ✓ 100%Hyo inaitwa "dejavu" ni neno la kifaransa linamaanisha "pre existed" yaan sisi binadamu kabla ya maisha haya, tushawahi ishi kabla. Kilichofanyika ni kitendo cha kupewa miili mipya tu lakn nafsi zetu zilikuepogo kabla ya sisi kuwa na hii miili"
Mkuu hivi meditation siyo ushirikina?Kweli kabisa mkuu ✓ 100%
Watu wengi hawalijui hilo, dini zetu zimetuaminisha tofauti sana. Ndio maana mtu akifa tunamlilia, na wakati kilichofanyika ni nafsi/ roho tu ndio imerudi kwenye u-milele wake na baadae itarudi tena duniani ikipata (fresh body) mwili mpya (Yaani utazaliwa tena upya kama mtoto mchanga na haijalishi ni taifa gani au nchi gani na ni wazazi gani), sema ufahamu na kumbukumbu zitakuwa zimefungwa na Ego isipokuwa tu kwa wanaofanya meditation mpaka kufikia Enlightenment (spiritutal awakening) ndio huwa wanakumbuka experience ya maisha yao ya zamani waliyowahi kuyaishi.
Jamani meditation ni kitu kizuri sana,, sana,, sana tu yaani,, hasa ukiwa na juhudi ya kufanya mpaka ukafikia mwangaza wa kiroho, mtayajua mengi bila kufundishwa na mtu, utayaona maisha ni rahisi sana maana hauta tegemea vitu tena ili uwe na furaha na amani bali furaha unayo ndani mwako muda wote.
Ndio maana kwa wanaojitambua huwa wanasema, siku nikifa msinililie bali sherehekeeni maisha yangu niliyoishi duniani.
Ulikuwa unahisi nini ulipokuwa nje ya mwiliMtu anapotoka njee ya mwili tofaut na ile silver Cord ana kuwa sawa na mtu ambae kauacha mwil wake kwa kifo? Cz toka nimetoka sijawah kutana na mtu Alie kufa
Alone naenda ninapotaka bila kizuiziUlikuwa unahisi nini ulipokuwa nje ya mwili
Hapana Sio ushirikina mkuu, ukiifanya inafaida nyingi Sana kiafya ya mwili, akili na kirohoMkuu hivi meditation siyo ushirikina?
Roho ya Mwenyezi Mungu aliyoiumba na kuipa purpose ya kuja kuongoa kizazi cha wana wa izrail na ujumbe wake ufike dunia nzima ya kwamba watu wajue kuwa Mungu yupo na Sheria zake zifuatwe.Hivi Yesu alikuwa ni nani?
Yesu ni Mwana wa Mungu, ni Mungu mwenyewe. Wakati wa mwishoni atajidhihirisha kama Mfalme wa Wafalme, Bwana wa MabwanaHivi Yesu alikuwa ni nani?
Aliyetuumba anafanya kazi kwa majira na Kila majira kulikuwa na kiongozi wa majira, Yesu alikuwa kiongozi wa majira ya Tano tangu mwanzo wa uumbaji, ila kabla ya Yesu alianza Moyo wa mwanzo,akafata kerubi, akafata Adam1, akafata Nuhu, ndo akaja Yesu na alikuwa kiongozi wa kizazi Cha tatu Toka kwenye vizazi vinne alivyoahidiwa Ibrahimu kuwa atakuwa baba wa mataifa mwanzo 15:16 na mwanzo 17:4-5.Yesu ni Mwana wa Mungu, ni Mungu mwenyewe. Wakati wa mwishoni atajidhihirisha kama Mfalme wa Wafalme, Bwana wa Mabwana
Soma UFUNUO WA YOHANA 19:11-16.
YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Mtu anapotoka njee ya mwili tofaut na ile silver Cord ana kuwa sawa na mtu ambae kauacha mwil wake kwa kifo? Cz toka nimetoka sijawah kutana na mtu Alie kufa
Hii kitu ni fikirishi sana aisee.Alone naenda ninapotaka bila kizuizi
Hamna ukweli wowote hapo zaidi mtu alikaa chini baada ya kushiba chai akafikiria hivyo akaandika hivyo kwenye kitabu ili auze nakala tunaojua hili tunajua hakuna kuhama mwili wala hakuna kuhama kichwa ikifikia muda mwili wako unataka conscious yako itarudi tu hata uwe umefika another galaxyHii kitu ni fikirishi sana aisee.
Naskia ukitoka halafu ule mda kurudi ukakuta mwli wako umehama position hata kidogo ndo mwisho, roho yako itaanza kutangatanga mpaka siku utapokufa kikwelikweli, kuna ukweli hapo??
Unasema unaenda unapopataka, unaenda huko kufanya nini? Unapata faida gani kwenda huko? Kubwa zaidi huwa unaenda wapi hasa!!?
Can you train me to do so?Alone naenda ninapotaka bila kizuizi
Ikifika muda au ni wewe unaamua urudi au lah??Hamna ukweli wowote hapo zaidi mtu alikaa chini baada ya kushiba chai akafikiria hivyo akaandika hivyo kwenye kitabu ili auze nakala tunaojua hili tunajua hakuna kuhama mwili wala hakuna kuhama kichwa ikifikia muda mwili wako unataka conscious yako itarudi tu hata uwe umefika another galaxy
Rakims
Mkuu, nimekuwa nikifuatilia thread zako hapa JF,. Uko vema na ufahamu wa mambo ya kiroho.Yes, ni kweli
Swali lako ni sawa na kuuliza kuna uhusiano gani kati ya uislamu na binadamu.Kuna uhusiano gani kati ya uislamu na mijini