Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

Hyo inaitwa "dejavu" ni neno la kifaransa linamaanisha "pre existed" yaan sisi binadamu kabla ya maisha haya, tushawahi ishi kabla. Kilichofanyika ni kitendo cha kupewa miili mipya tu lakn nafsi zetu zilikuepogo kabla ya sisi kuwa na hii miili"
Kweli kabisa mkuu ✓ 100%

Watu wengi hawalijui hilo, dini zetu zimetuaminisha tofauti sana. Ndio maana mtu akifa tunamlilia, na wakati kilichofanyika ni nafsi/ roho tu ndio imerudi kwenye u-milele wake na baadae itarudi tena duniani ikipata (fresh body) mwili mpya (Yaani utazaliwa tena upya kama mtoto mchanga na haijalishi ni taifa gani au nchi gani na ni wazazi gani), sema ufahamu na kumbukumbu zitakuwa zimefungwa na Ego isipokuwa tu kwa wanaofanya meditation mpaka kufikia Enlightenment (spiritutal awakening) ndio huwa wanakumbuka experience ya maisha yao ya zamani waliyowahi kuyaishi.

Jamani meditation ni kitu kizuri sana,, sana,, sana tu yaani,, hasa ukiwa na juhudi ya kufanya mpaka ukafikia mwangaza wa kiroho, mtayajua mengi bila kufundishwa na mtu, utayaona maisha ni rahisi sana maana hauta tegemea vitu tena ili uwe na furaha na amani bali furaha unayo ndani mwako muda wote.
Ndio maana kwa wanaojitambua huwa wanasema, siku nikifa msinililie bali sherehekeeni maisha yangu niliyoishi duniani.
 
Mkuu hivi meditation siyo ushirikina?
 
Mtu anapotoka njee ya mwili tofaut na ile silver Cord ana kuwa sawa na mtu ambae kauacha mwil wake kwa kifo? Cz toka nimetoka sijawah kutana na mtu Alie kufa
 
Mtu anapotoka njee ya mwili tofaut na ile silver Cord ana kuwa sawa na mtu ambae kauacha mwil wake kwa kifo? Cz toka nimetoka sijawah kutana na mtu Alie kufa
Ulikuwa unahisi nini ulipokuwa nje ya mwili
 
Hivi Yesu alikuwa ni nani?
Roho ya Mwenyezi Mungu aliyoiumba na kuipa purpose ya kuja kuongoa kizazi cha wana wa izrail na ujumbe wake ufike dunia nzima ya kwamba watu wajue kuwa Mungu yupo na Sheria zake zifuatwe.

Akatenda miujiza kwa idhini ya Mungu, ajabu ya wengine hutaka kutenda miujiza kwa jina lake.

Rakims
 
Yesu ni Mwana wa Mungu, ni Mungu mwenyewe. Wakati wa mwishoni atajidhihirisha kama Mfalme wa Wafalme, Bwana wa Mabwana

Soma UFUNUO WA YOHANA 19:11-16.

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Aliyetuumba anafanya kazi kwa majira na Kila majira kulikuwa na kiongozi wa majira, Yesu alikuwa kiongozi wa majira ya Tano tangu mwanzo wa uumbaji, ila kabla ya Yesu alianza Moyo wa mwanzo,akafata kerubi, akafata Adam1, akafata Nuhu, ndo akaja Yesu na alikuwa kiongozi wa kizazi Cha tatu Toka kwenye vizazi vinne alivyoahidiwa Ibrahimu kuwa atakuwa baba wa mataifa mwanzo 15:16 na mwanzo 17:4-5.

Waliokuwa wameteka uumbaji Luka 4:5-6 na malkia wa mbinguni yeremia 44-17-18 kwa kujua alivyopewa Yesu kwa ajili ya kanisa (sio dini) Efeso 1:22 wakamwibia kama walivyowaibia wengine waliotumwa mathayo 21:33-40 ila Yesu hakusema hilo kulinda imani. Baada ya kumuua wakalazimisha aabudiwe japo yeye alishasema katika Sala ya baba yetu na katika Yohana 4:23 wakupewa ibada ni Mungu Baba aliyeumba na hilo linakuja kudhihirika pia katika 1Korintho15:24-28.
 
Mtu anapotoka njee ya mwili tofaut na ile silver Cord ana kuwa sawa na mtu ambae kauacha mwil wake kwa kifo? Cz toka nimetoka sijawah kutana na mtu Alie kufa

Alone naenda ninapotaka bila kizuizi
Hii kitu ni fikirishi sana aisee.

Naskia ukitoka halafu ule mda kurudi ukakuta mwli wako umehama position hata kidogo ndo mwisho, roho yako itaanza kutangatanga mpaka siku utapokufa kikwelikweli, kuna ukweli hapo??

Unasema unaenda unapopataka, unaenda huko kufanya nini? Unapata faida gani kwenda huko? Kubwa zaidi huwa unaenda wapi hasa!!?
 
Hamna ukweli wowote hapo zaidi mtu alikaa chini baada ya kushiba chai akafikiria hivyo akaandika hivyo kwenye kitabu ili auze nakala tunaojua hili tunajua hakuna kuhama mwili wala hakuna kuhama kichwa ikifikia muda mwili wako unataka conscious yako itarudi tu hata uwe umefika another galaxy

Ikifika muda au ni wewe unaamua urudi au lah??
 
Kuna uhusiano gani kati ya uislamu na mijini
Swali lako ni sawa na kuuliza kuna uhusiano gani kati ya uislamu na binadamu.
Jibu ni kuwa ni dini isiyo na shaka ndani yake na ni nyepesi katika kuongoza watu na majini katika uongofu ambapo mwenye kutaka na asikie na asiyetaka basi. Hivyo kwa kuwa wao walipewa nguvu nyingi za miujiza unapowasomea kwenye husema tumesikia na tumetii na wengine hupinga kama ilivyo kwa binadamu.

Rakims
 
Kwako Rakims
Swali langu ni kwamba mke wangu anajambo linamsumbua sana iko hivi anafika sehem kwa mara ya kwanza alafu anakuwa kama alisha wai kufika hapo siku za nyuma ili hali hakuwa anapajua kabisa
Sasa juzi imekuwa ni zaidi yani nimempleka kwenye kikao mwenyewe na hakuwa najua ile sehem ila baada ya kikao ameniambia hicho kikao alishawahi kuhudhuria na agenda ndio hizo hadi ukumbi ndio huohuo na namna watu walivyo jipanga huwa namkatalia ila naona inazidi kwa sasa anahofu hata kuniambia maana anajua nitamkrash
 
Back
Top Bottom