Kachina95
Member
- Mar 7, 2019
- 49
- 143
Wanajukwaa nina maswali machache hapa naomba msaada tafadhali:
1. Yapi mabaya tuliyotendewa na wakoloni na hatutendewi na CCM?
2. Yapi mema ambayo CCM wanafanya, mkoloni hakuyafanya?
3. Mkoloni alitunga sheria kandamizi na akazifuata, kwanini CCM hata sheria zao kandamizi wanazivunja ili tu kuwateketeza watanganyika?
4. Uhuru wa mwaka 1961 unafaida gani kwetu raia wa Tanganyika kwa sasa?
5. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unamanufaa gani kwa raia wa kawaida wa Tanganyika ukilinganisha na hasara?
Mwisho kabisa kwa mazingira nayoyaona sasa ni bora mara 1000 tutawaliwe na wakoloni wazungu kuliko haya manyang'au.