Swali langu kwenu waendesha private car kwenda Mikoani

Niliwahi kufika Dodoma miaka flani
Ktk story nikasikia hii ni barabara ya Dar ambapo barabara hyo ukiifwata unafika mpk Moro

Ukiwa Dar utakuta barabara ya bagamoyo na ukiwa makini vipo vibao vitakuonesha na km


Jarbu kumtoroka baba yako panda gari za Mbeya huko mbele utafute nyingine ufike mpk Rukwa,Songea nk

Ushakua mkubwa
 
mtu hata hajawahi miliki IST lakini anafungua uzi
kwani hujasoma heading
ndo wanaotoa majibuless
 
Dogo mwambie baba yako aandae laki mbili ya malipo ya hostel mliyoichoma,,,,tofauti n hapo RC CHALAMILA atawaharibia maisha,,,,amepewa baraka n MKULU
 
Mimi nimewahi kutoka tz mpaka Zambia, Zambia ndani saaana!,bila mwenyeji na mwenyeji wangu alikuwa mdada mmoja wa huko, tulifahamiana mitandaoni!
Usijaribu kuniiga
 
Kujua jiografia ni nusu ya kufika.Mtu mzima hapotei huchelewa tu kufika.
 
baba yako alikujibu kuwa atakwambia ukikua inawezekana anajua wewe ni mbumbumbu. unadhani jiografia inayofundishwa shuleni ni kwa ajili ya kujibu mtihani tu?....unapopanga safari kwenda mahali popote ni lazima uwe na background information ya mahali unakokwenda na ujue barabara inakwendaje na inapitia wapi. ramani zipo hata atlas za darasa la tatu zinaonyesha barabara zote nchini, lakini bado mtu mzima kama wewe hujui na huwezi kutumia elimu yako ndogo ya darasani kukutoa point A kwenda point B?

Subiri ukikua babako atakwambia.
 
Kwahiyo bado hujakua tu ili baba ako akwambie?
 
Nimegundua wewe ni dogo.Kumbuka mtu anakwenda Ulaya na anafika lakini hajawahi fika.Why 1.kuuliza 2.Elimu inasaidia 3.kumbuka unayeendesha ndege au basi sio wewe 4.Kwa nchi za wenzetu kwenye magari kuna GPS inakuelekeza unakoenda tena hadi nyumbani kwa mtu
Pole kijana wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…