Swali langu Joshua atakava nafasi ya Tyson?

qaxemvule

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
231
120
Kwasababu makonde anayoyapeleka mazito
 

Attachments

  • IMG_20170505_210839_207.jpg
    IMG_20170505_210839_207.jpg
    4.8 KB · Views: 39
  • IMG_20170505_210923_659.jpg
    IMG_20170505_210923_659.jpg
    5 KB · Views: 40
Kw="qaxemvule, post: 20991430, member: 414089"]Kwasababu makonde anayoyapeleka mazito[/QUOTE]. Hawezi kukava ile nafasi aisee yet MTU kafika nae round kibao yule ww unafikir Tyson alikuwa anamfikisha MTU hata raundi mbili?? yaan ilikuwa kipindi kile ukichelewa tuu kuingia bandani kuangalia ngumi ukija unakuta watu wanatoka round ya kwanza tuu pambano analimaliza
 
Ha ha ha ha ha yule mzungu kuna kipindi alimkalisha nikajua twafaaa
 
Joshua ni boxer mzuri.

Ana speed, ana nguvu na anajua sana kutumia upper cut kummaliza opponent

Wladmir alipoteza mchezo alipopigwa upper cut

Joshua anajua pia kutumia hooks, halafu opponent akimpa nafasi anamaliza na brutal upper cup. Lazima ulambe sakafu

Siwezi mlinganisha na Mike Iron Tyson.

Tyson alivulia zaidi akiwa ulingoni.
 
Back
Top Bottom