Swali la x-mass

Swali la x-mass

Mkuu ni kwa sababu hizi dini hazituhusu.sisi inatuhusu mizimu na mila.hizi ni saccos zilizochangia sana kueneza ukoloni.
 
Mungu angekuwa anahukumu kwa kutumia akili na mawazo ya wanadamu. Wapo watu wangefurahi sana. Lakini hapa wotenatokwa mapovu ya bure tu. Hamjui hata mkifa mtafanywaje. Cha muhimu ishi maisha ya upendo kwa wenzako na umche Mungu wako. Mengine utakutana nayo ukifa.
 
Mimi nashangaa sana hivi 25 /12 mbona kwenye biblia hajaandikwa kuwa inatakiwa kufanya siku kwa ajili hiyo
Sikuu ninao itambua ni Pasaka hata kwenye biblia ipo na Yesu amesema tufanye kwa ajili ya ukumbusho wake na si kila mwezi wa 4 kama wakiristo wengi wanavyo fanya.
Ndo maana wasabato ninawakubali sana hawana mapokeo , x mass pamoja na sikuu ya jumapili kuwa ndo siku ya ibada imeletwa na mfalme constatini na siyo Mungu.
Kuhusu siku ya jumamosi kuwa ni ibada iko wazi kwenye biblia haina haja ya kutumia nguvu nyingi sana kujua, soma kantikisini uk 174 utaona ni jinsi gani constanini halibadilisha siku kwamakusudi .
Quran ukisoma sura 16 :124 ,sura 2:64-66 ,na sura 62 :9-10 utapata kuwa Jumamosi kuwa ndo siku ya ibada na wala si ijumaa, ijumaa imetajwa zaidi ya mara moja tu katika qurani kulinganisha na siku ya juma mosi kuwa ndo siku inanayo takiwa kumwabudu Mwenyezi Mungu.
Kumbe wasabato ndo wako sawa kabisa .

Zieke kwa maandiko hapa izo Sura ulozitaja.
Halafu kwenye uislam siku zote ni za ibada hamna jumamosi wala ijumaa
 
Nikienda China ntakuwa nimesahau kiswahili kwamba nishindwe kusali. Au Mungu hajui kiswahili?
Si suala la kusahai Kiswahili,ibda ya kiislam,imejengeka katika utaratibu maalumu,muda maalumu,vitendo maalumu na dua maalumu.Dunia nzima popote utakako kwenda,utakuta utaratibu huo huo,hakuna haja ya kuwa na Ibada ya English,muda fulani kwa ajili ya wasiojuwa Kiswahili,na Ibada ya kiswahili mda fulani kwa wasiojuwa English.Hii dini ina Lugha yake rasmi,Kiarabu.Kama vile nchi zinakuwa na Lugha Rasmi ya nchi husika.Kwa mfano Lugha Rasmi ya Tanzania ni Kiswahili,wakati kiswahili ni Lugha iliyoanzishwa na Waarabu,kwa hiyo bado wataka kutwambia Watanzani tunamuona mwarabu ana akili zaidi?Au tumechagua iwe ndio lugha Rasmi ya Tanzani?
 
Kinyume chake ni kuwa Ukristo ni imani ambayo inatengeneza mfumo wa maisha ya imani ya Kikristo, na imani hiyo ina maelekezo, na Mungu ndiye aliyetengeneza Lugha (Mwanzo 11:1-9) "kisa cha mnara wa Babeli" - hivyo Mungu anasikia lugha zote na unaweza swali (fanya ibada )kwa lugha yoyote ile na akakusikia, issue hapa ni imani na Mungu anasikia Lugha zote.
Lazima kuweko na Lugha rasmi,uislamu umeweka kiarabu ndio lugha rasmi ya ibada,ili kuwe wepesi kwa wafanyao ibada,muislamu yoyote akisafiri akienda nchi yoyote,na akiwa amepitia mafunzo ya uislamu inakuwa kwake ni rahisi kufanya ibada,kwa sababu ibafa itaendeshwa kwa lugha ile ile aliyojifunza katika uislamu.Tofauti na dini nyingine,kwa mfano akifika china,ikiwa Ibada inaendeshwa kichina,hataweza kuelewa kinachoendelewa,na utakuta kuna ibada kwa Lugha ya English,je huyu mkristo ikiwa hajui English,atafanya vipi ibada na wachina au Ibada inayoendeshwa kwa lugha nyingine asioijuwa.Ndio mana uislamu imeweka lugha Rasmi ya Ibada dunia nzima.Ndio mana nchi zote duniani,ziliiga katika uislamu,kuwa na lugha Rasmi,ya nchi husika.Tanzania ikachagua kiswahili ndio Lugha rasmi ya Tanzania.Fikiria kama iningekuwa Tanzania haina Lugha rasmi,bungeni kungekuwaje,wakati wa kujadili hoja mbali mbali,maana kila mmoja angesema lugha yake,wangeelewana?Na kumbuka Tanzania tumechagua kiswahili,na mamajadiliano yetu ya bunge tunafanya kwa kiswahili,Na Mungu pia anatusikia,na lugha yoyote angetusikia,lakini tumeweka kiswahili ili iwe wepesi kuwasiliana sisi binadamu,sio kwa ajili ya Mungu anasikia lugha gani na Lugha gani hasikii.
Ukiona umoja au mkusanyiko wa watu,kama vile,dini,chama,nchi au kabila nk,hawana Lugha yao Rasmi,utilie shaka umoja huo au mkusanyiko huo,kabila hilo,ujuwe hapo pana ubabaishaji au sio mkusanyiko rasmi,ni kama kwenye gulio au sokoni hakuna lugha rasmi,kwa sababu kila mtu pale kaja kwa malengo tofauti,hawana lengo moja.Lakini shule,chuo,au kwenye mafunzo yoyote lazima kuwa na Lugha rasmi,kwa sababu wote waliopo hapo kwenye mafunzo wapo kwenye lengo moja na ni rasmi,lazima wawe na lugha rasmi.Fikiria shule au chuo hakina lugha rasmi ya taaluma,kila mwalimu au mwanafunzi anatumia lugha yake katika kujifunza na kujibu mitihani,hiyo taaluma itakuwa vipi mwisho wake?Kwa hiyo lengo la Lugha rasmi,ni kwa ajili ya sisi binadamu kuwasiliana kiwepesi,si suala la Mungu kutusikia,au kusikia lugha gani,lugha zote anasikia.
 
Mkuu ni kwa sababu hizi dini hazituhusu.sisi inatuhusu mizimu na mila.hizi ni saccos zilizochangia sana kueneza ukoloni.

Hakuna kosa kubwa kushinda kosa la kutomjua mungu sahihi wa kuabudiwa! watu wenye akili timamu wanalifahamu hilo, lakini wenye akili ndogo wataendelea kuabudu mawe, mapango, sanamu, miti, vitu ambavyo haviwezi kukusaidia lolote na kesho ukifa utakuwa mwenye hasara, maana ulifikishiwa ujumbe na ukadharau.
 
HIVI MASWALI KAMA HAYA HUWA HAYANA MAJIBU????? Wako wapi wachungaji na Maaskofu?
 
Tafuta usome usiwe mvivu la sivyo basi njia yoyote in a we za kukuchukua.
Nafikiri ukisoma hizo sura utapata majibu mazuri sana ndugu yangu. Mimi nikiweka hizo sura hutaamini wewe nenda kasome mweyewe halafu rudi tena.
 
Mbona makao makuu yapo Dodoma na si Butiama?
We itabidi ukachukue ubwabwa na sio buku 7.

1387623602087.jpg
 
Hii ni mijadala ya kwenye mihadhara.. inayoendeshwa na akili ndugu usirudie.tena kuileta humu
 
Kwa imani ya wakristo(walio wengi sio wote) mzungu pekee ndo mwenye akili ndo maana inakua tabu kumuona PAPA MWEUSI.

Acha uoungo! kwa taarifa yako wakristo wanafundishwa kuwa Mungu ni mmoja, tena siyo Athuman yaani hana upendeleo kama tulivyo wanadamu! kwa statement hii ni maana HAWEZI KUPENDELEA KUMUUMBA MZUNGU NA AKILI NYINGI ZAIDI YA MWEUSI! nadhani hayo ni mawazo yako mwenyewe! Ni wewe ndiyo unawaza hivyo kuwa wazungu wana akili kuliko yako na ya baba yako kama siyo ukoo wako mzima! Amka, binadamu wote ni sawa mbele za mwenyezi Mungu, acha kuudanganya umma.
 
Lazima kuweko na Lugha rasmi,uislamu umeweka kiarabu ndio lugha rasmi ya ibada,ili kuwe wepesi kwa wafanyao ibada,muislamu yoyote akisafiri akienda nchi yoyote,na akiwa amepitia mafunzo ya uislamu inakuwa kwake ni rahisi kufanya ibada,kwa sababu ibafa itaendeshwa kwa lugha ile ile aliyojifunza katika uislamu.Tofauti na dini nyingine,kwa mfano akifika china,ikiwa Ibada inaendeshwa kichina,hataweza kuelewa kinachoendelewa,na utakuta kuna ibada kwa Lugha ya English,je huyu mkristo ikiwa hajui English,atafanya vipi ibada na wachina au Ibada inayoendeshwa kwa lugha nyingine asioijuwa.Ndio mana uislamu imeweka lugha Rasmi ya Ibada dunia nzima.Ndio mana nchi zote duniani,ziliiga katika uislamu,kuwa na lugha Rasmi,ya nchi husika.Tanzania ikachagua kiswahili ndio Lugha rasmi ya Tanzania.Fikiria kama iningekuwa Tanzania haina Lugha rasmi,bungeni kungekuwaje,wakati wa kujadili hoja mbali mbali,maana kila mmoja angesema lugha yake,wangeelewana?Na kumbuka Tanzania tumechagua kiswahili,na mamajadiliano yetu ya bunge tunafanya kwa kiswahili,Na Mungu pia anatusikia,na lugha yoyote angetusikia,lakini tumeweka kiswahili ili iwe wepesi kuwasiliana sisi binadamu,sio kwa ajili ya Mungu anasikia lugha gani na Lugha gani hasikii.
Ukiona umoja au mkusanyiko wa watu,kama vile,dini,chama,nchi au kabila nk,hawana Lugha yao Rasmi,utilie shaka umoja huo au mkusanyiko huo,kabila hilo,ujuwe hapo pana ubabaishaji au sio mkusanyiko rasmi,ni kama kwenye gulio au sokoni hakuna lugha rasmi,kwa sababu kila mtu pale kaja kwa malengo tofauti,hawana lengo moja.Lakini shule,chuo,au kwenye mafunzo yoyote lazima kuwa na Lugha rasmi,kwa sababu wote waliopo hapo kwenye mafunzo wapo kwenye lengo moja na ni rasmi,lazima wawe na lugha rasmi.Fikiria shule au chuo hakina lugha rasmi ya taaluma,kila mwalimu au mwanafunzi anatumia lugha yake katika kujifunza na kujibu mitihani,hiyo taaluma itakuwa vipi mwisho wake?Kwa hiyo lengo la Lugha rasmi,ni kwa ajili ya sisi binadamu kuwasiliana kiwepesi,si suala la Mungu kutusikia,au kusikia lugha gani,lugha zote anasikia.

tuache maneno mengi, ila jaribu kujiuliza hivi? hivi ukiwa chumbani kwako peke yako huwa unasali(unafanya ibada) kwa lugha gani, kiarabu, kiingereza, kiswahili, kijerumani, au kikwenu?
 
Muhammad alifika Tanzania? Yesu alifika Tanzania? Kuna hata nabii mweusi katika dini yeyote ile? Kwanini Mungu hakutaka mtu mweusi hata mmoja tu aeneze dini yake angali mwanzo? Kwanini tunaabudu dini ambazo hazina uhusiano kabisa na asili yetu?
Yesu aliishi Afrika. Waafrika walifahamu kuhusu Yahweh before the birth of Jesus, in contrast, Muhammad never went to Africa, in fact, in the diabolical Quran, Allah said that all Africans, I mean black people were created to populate hell.

Muhammad ni marehemu, hivyo huwezi kumfananisha na Yesu aliye hai.

Msaada wa bure, kasome kuhusu Ethiopian Eunuch.

Sasa najibu swali Lako: Yesu alikuja kwa Mataifa yote, ndio maana unauona Ukristo Katika Dunia Nzima Kama ulivyo kiri. Yesu ni Mungu. Uislam ni kwa Waarabu pekee ndio maana Allah anatumia kiarabu tu.

Kwa kusoma historia hiyo fupi hapo chini unaweza kupata jibu la swali hilo kwamba kama serikali ya Tanzania Makao Makuu yako Dar es Salaam basi taasisi nyingi makao yake makuu yatakuwa hapo kwa sababu ya kurahizisha mawasiliano na pamoja na urahisi wa miundombinu. Kumbuka enzi hizo kabla, wakati na baada ya Yesu, Uyahudi ilikuwa chini ya himaya ya Roman Empire na makao makuu yakiwa Rome. Hivyo haishangazi kuona makao makuu kuwa huko kwa vile wakati huo haikuwa tena dini ya Wayahudi bali ya ulimwengu na kwa wakati huo ulimwengu ulioeleweka ndio Dola kubwa iliyokuwapo ambayo ni ya Kirumi. Refer: "dunia yote ilikusanyika langoni pa Yerusalemu" nukuru kutoka biblia na wakati huo dunia ikimaanisha roman empire na nchi zilizoikaribia.

800px-StPetersBasilicaEarlyMorning.jpg
800px-St_Peter's_Square,_Vatican_City_-_April_2007.jpg Pontifical_Swiss_Guards_in_their_traditional_uniform.jpg 895px-Vatican_panorama_from_St._Peters_Basilica.jpg

History of the Catholic Church

Catholic doctrine teaches that the Catholic Church was founded by Jesus Christ. It interprets the Confession of Peter as acknowledging Christ's designation of Apostle Peterand his successors to be the temporal head of his Church. Thus, it asserts that theBishop of Rome has the sole legitimate claim to Petrine authority and the primacy due to the Roman Pontiff. The Catholic Church claims legitimacy for its bishops and priests via the doctrine of apostolic succession and authority of the Pope via the unbroken line of popes, claimed as successors to Simon Peter.

In 313, the struggles of the
Early Church were lessened by the legalisation of Christianityby the Emperor Constantine I. In 380, under Emperor Theodosius I, Christianity became the state religion of the Roman Empire by the decree of the Emperor, which would persist until the fall of the Western Empire, and later, with the Eastern Roman Empire, until theFall of Constantinople. During this time (the period of the Seven Ecumenical Councils) there were considered five primary sees according to Eusebius: Rome, Constantinople,Antioch, Jerusalem and Alexandria, known as the Pentarchy.

After the destruction of the western Roman Empire, the
church in the West was a major factor in the preservation of classical civilization, establishing monasteries, and sending missionaries to convert the peoples of northern Europe, as far as Ireland in the north. In theEast, the Byzantine Empire preserved Orthodoxy, well after the massive invasions of Islamin the mid-7th century. The invasions of Islam devastated three of the five Patriarchal sees, capturing Jerusalem first, then Alexandria, and then finally in the mid-8th century, Antioch.

The whole period of the next five centuries was dominated by the struggle between
Christianity and Islam throughout the Mediterranean Basin. The battles of Poitiers, and Toulouse preserved the Catholic west, even though Rome itself was ravaged in 850, and Constantinople besieged. In the 11th century, already strained relations between the primarily Greek church in the East, and the Latin church in the West, developed into theEast-West Schism, partially due to conflicts over Papal Authority. The fourth crusade, and the sacking of Constantinople by renegade crusaders proved the final breach.

In the
16th century, in response to the Protestant Reformation, the Church engaged in a process of substantial reform and renewal known as the Counter-Reformation.[SUP][6][/SUP] In subsequent centuries, Catholicism spread widely across the world despite experiencing a reduction in its hold on European populations due to the growth of Protestantism and also because of religious scepticism during and after the Enlightenment. The Second Vatican Council in the 1960s introduced the most significant changes to Catholic practices since the Council of Trent three centuries before.

CC:
ugasa
 
Kwa kusoma historia hiyo fupi hapo chini unaweza kupata jibu la swali hilo kwamba kama serikali ya Tanzania Makao Makuu yako Dar es Salaam basi taasisi nyingi makao yake makuu yatakuwa hapo kwa sababu ya kurahizisha mawasiliano na pamoja na urahisi wa miundombinu. Kumbuka enzi hizo kabla, wakati na baada ya Yesu, Uyahudi ilikuwa chini ya himaya ya Roman Empire na makao makuu yakiwa Rome. Hivyo haishangazi kuona makao makuu kuwa huko kwa vile wakati huo haikuwa tena dini ya Wayahudi bali ya ulimwengu na kwa wakati huo ulimwengu ulioeleweka ndio Dola kubwa iliyokuwapo ambayo ni ya Kirumi. Refer: "dunia yote ilikusanyika langoni pa Yerusalemu" nukuru kutoka biblia na wakati huo dunia ikimaanisha roman empire na nchi zilizoikaribia.

View attachment 128101
View attachment 128098 View attachment 128100 View attachment 128099

History of the Catholic Church

Catholic doctrine teaches that the Catholic Church was founded by Jesus Christ. It interprets the Confession of Peter as acknowledging Christ's designation of Apostle Peterand his successors to be the temporal head of his Church. Thus, it asserts that theBishop of Rome has the sole legitimate claim to Petrine authority and the primacy due to the Roman Pontiff. The Catholic Church claims legitimacy for its bishops and priests via the doctrine of apostolic succession and authority of the Pope via the unbroken line of popes, claimed as successors to Simon Peter.

In 313, the struggles of the
Early Church were lessened by the legalisation of Christianityby the Emperor Constantine I. In 380, under Emperor Theodosius I, Christianity became the state religion of the Roman Empire by the decree of the Emperor, which would persist until the fall of the Western Empire, and later, with the Eastern Roman Empire, until theFall of Constantinople. During this time (the period of the Seven Ecumenical Councils) there were considered five primary sees according to Eusebius: Rome, Constantinople,Antioch, Jerusalem and Alexandria, known as the Pentarchy.

After the destruction of the western Roman Empire, the
church in the West was a major factor in the preservation of classical civilization, establishing monasteries, and sending missionaries to convert the peoples of northern Europe, as far as Ireland in the north. In theEast, the Byzantine Empire preserved Orthodoxy, well after the massive invasions of Islamin the mid-7th century. The invasions of Islam devastated three of the five Patriarchal sees, capturing Jerusalem first, then Alexandria, and then finally in the mid-8th century, Antioch.

The whole period of the next five centuries was dominated by the struggle between
Christianity and Islam throughout the Mediterranean Basin. The battles of Poitiers, and Toulouse preserved the Catholic west, even though Rome itself was ravaged in 850, and Constantinople besieged. In the 11th century, already strained relations between the primarily Greek church in the East, and the Latin church in the West, developed into theEast-West Schism, partially due to conflicts over Papal Authority. The fourth crusade, and the sacking of Constantinople by renegade crusaders proved the final breach.

In the
16th century, in response to the Protestant Reformation, the Church engaged in a process of substantial reform and renewal known as the Counter-Reformation.[SUP][6][/SUP] In subsequent centuries, Catholicism spread widely across the world despite experiencing a reduction in its hold on European populations due to the growth of Protestantism and also because of religious scepticism during and after the Enlightenment. The Second Vatican Council in the 1960s introduced the most significant changes to Catholic practices since the Council of Trent three centuries before.

CC:
ugasa
kwa hivyo YESU aliwahi kukanyaga ITALIA? mimi navyosikia kwamba PAULO ndio alioupeleka ukiristo huko akaubadilisha kila kitu sio ukiristo wa Yesu
 
Hakuna kosa kubwa kushinda kosa la kutomjua mungu sahihi wa kuabudiwa! watu wenye akili timamu wanalifahamu hilo, lakini wenye akili ndogo wataendelea kuabudu mawe, mapango, sanamu, miti, vitu ambavyo haviwezi kukusaidia lolote na kesho ukifa utakuwa mwenye hasara, maana ulifikishiwa ujumbe na ukadharau.
kuna tofauti kubwa sana ya mungu wa kweli na dini ya kweli.sababu mungu hana dini.yote kwa yote mwisho utawadia tu mwisho wowote ule.uwe ni kiama au wowote utakaomaliza porojo na malumbano haya.
 
kwa hivyo YESU aliwahi kukanyaga ITALIA? mimi navyosikia kwamba PAULO ndio alioupeleka ukiristo huko akaubadilisha kila kitu sio ukiristo wa Yesu

Swali lako si la upeo wa kiwango changu, ungekuwa na uelewa ungelewa maelezo niliyokupa, kwa hali halisi unaonyesha una kitu kingine nyuma ya pazi, vinginevyo maelezo haya kama umesoma na kuyaelewa usingeibuka tena na swali kama hilo. Sawa na kusema kwa nini Kikwete anayeongoza serikali asiweke makao makuu ya serikali kijijini kwake Msoga.
 
Back
Top Bottom