Swali la x-mass

Swali la x-mass

Kwa imani ya wakristo(walio wengi sio wote) mzungu pekee ndo mwenye akili ndo maana inakua tabu kumuona PAPA MWEUSI.

kwa imani ya waislam (walio wengi na mbumbu) Mwarabu ndo mwenye akili na ndio maana inakuwa taabu kuona swala au mafunzo ya dini hii inakuwa katika lugha ya kiarabu na si vinginevyo
 
ukitaka kujua maswali ya kinafiki ni haya! kwa nini makao makuu ya UN yawe USA? au OAU yawe Ethiopia? Mbona "Full Bible Fellowship Hq ipo TZ? mbona baba na mama wanalala chumba kimoja na kila mwanafamilia anaona sawa ila baba mdogo na shangazi wakilala chumba kimoja inakuwa nongwa? au Mbona EAC hq yake ipo Arusha? Mbona wafuasi wa mtume Mohamed (S.A.W) hawana makao makuu ya dini yao? mbona wafuasi wa dini hii wanatumia kiarabu katika ibada yao badala ya lugha zao za asili?

kila jambo linalofanyika katika uislam lina hoja za msingi na ushahidi wa kujitosheleza kama maandiko yanavyotaka, kumbuka dini si suala la asili bali ni mtu anatakiwa kujiridhisha kwa imani unayoifuata kama ni sahihi au la! kwa historia, kusoma vitabu vya dini na mambo mengine mengi.
 
Kwanini Makao makuu ya dini yapo Ulaya.

katoliki - Italia
Cathodic - Ujeruman.
Angalikan - Uk.
Wasabato - Marekani

nijuavyo mimi, Yesu aliishi sana maeneo ya IRAQ, SYRIA, ISRAEL na kidogo Egypt.Nchi za ulaya ndio za mwisho kufikia ujumbe wa YESU wala hakuna historia ya kwamba aliwahi kufika.
Kwanini makao makuu yasingaliuwa maeneo haya badala yake yamehamia nchi hizo?.

Hili ni swali naomba njibiwe kwa ustaarabu ili nielewe.

Kweli akili zakuambiwa changanya na zako!!

Kwahiyo umechukukua maswali ya jamaa anaesema alikuwa mchungaji akaamua kuacha uchungaji anajiita Mwaipopo umeleta hapa!!

Maswali hayo hayana mashiko kwasababu si lazima uishi mahala ulipo zaliwa.
 
Waisrael [wayahudi] hawamwamini YESU KRISTO na walikuwa wakiwauwa wale waliokuwa wakihubiri injili y YESU KRISTO sababu walimuona YESU KRISTO kama anaekwenda kinyume na maadili ya dini yao.

Mtume Paulo, Petro na wengine walifanya pia uinjilishaji huko Roma Italia [ulaya] na kutokana na kuwa muda huo ilikuwa chini ya dola ya Kirumi,
kutoka ulaya waliweza kusambaza Injili kutokana na muingiliano wa watu kutoka Uyahudi kwenda Ulaya.

mbona kitabu cha MATENDO YA MITUME na vitabu vingine vimeandika kwa kina tu.
 
kwa imani ya waislam (walio wengi na mbumbu) Mwarabu ndo mwenye akili na ndio maana inakuwa taabu kuona swala au mafunzo ya dini hii inakuwa katika lugha ya kiarabu na si vinginevyo

Kumbuka kuwa uislam ni mfumo wa maisha uliokamilika kila kitu kimeshaelekezwa kwenye maandiko, suala la kutumia Lugha moja kwenye ibada lina maana kubwa ambayo wewe huwezi kuielewa. mfano mmoja tu kwa kutumia lugha hiyo mimi naweza kwenda nchi yeyote dunia iwe china au kwingineko na nitaweza kuswali bila shida yeyote, lakini dini nyingine hawawezi kufanya kama wanavyofanya waislam. umeelewa sasa?
 
Kwanin wewe umezaliwa na hiyo jinsia uliyonayo?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kumbuka kuwa uislam ni mfumo wa maisha uliokamilika kila kitu kimeshaelekezwa kwenye maandiko, suala la kutumia Lugha moja kwenye ibada lina maana kubwa ambayo wewe huwezi kuielewa. mfano mmoja tu kwa kutumia lugha hiyo mimi naweza kwenda nchi yeyote dunia iwe china au kwingineko na nitaweza kuswali bila shida yeyote, lakini dini nyingine hawawezi kufanya kama wanavyofanya waislam. umeelewa sasa?

Nikienda China ntakuwa nimesahau kiswahili kwamba nishindwe kusali. Au Mungu hajui kiswahili?
 
Muhammad alifika Tanzania? Yesu alifika Tanzania? Kuna hata nabii mweusi katika dini yeyote ile? Kwanini Mungu hakutaka mtu mweusi hata mmoja tu aeneze dini yake angali mwanzo? Kwanini tunaabudu dini ambazo hazina uhusiano kabisa na asili yetu?

Wapo waafrika wameandikwa kwenye Biblia kama hivi huyu Mkushi [Ethiopia]

MATENDO YA MITUME;

8.26 Malaika wa Bwana akasema na Filipo, akamwambia, Ondoka ukaende upande wa kusini hata njia ile itelemkayo kutoka Yerusalemu kwenda Gaza; nayo ni jangwa.
8.27 Naye akaondoka, akaenda; mara akamwona mtu wa Kushi, towashi, mwenye mamlaka chini ya Kandake malkia wa Kushi, aliyewekwa juu ya hazina yake yote; naye alikuwa amekwenda Yerusalemu kuabudu,
8.28 akawa akirejea, ameketi garini mwake akisoma chuo cha nabii Isaya.
8.29 Roho akamwambia Filipo, Sogea karibu na gari hili, ukashikamane nalo.
8.30 Basi Filipo akaenda mbio, akamsikia anasoma chuo cha nabii Isaya; akanena, Je! Yamekuelea haya unayosoma?
8.31 Akasema, Nitawezaje kuelewa, mtu asiponiongoza? Akamsihi Filipo apande na kuketi pamoja naye

8.34 Yule towashi akamjibu Filipo, akasema, Nakuomba, nabii huyu; asema maneno haya kwa habari ya nani; ni habari zake mwenyewe au za mtu mwingine?
8.35 Filipo akafunua kinywa chake, naye, akianza kwa andiko lilo hilo, akamhubiri habari njema za Yesu.
8.36 Wakawa wakiendelea njiani, wakafika mahali penye maji; yule towashi akasema, Tazama, maji haya; ni nini kinachonizuia nisibatizwe?
8.37 Filipo akasema, Ukiamini kwa moyo wako wote, inawezekana. Akajibu, akanena, Naamini ya kwamba Yesu Kristo ndiye Mwana wa Mungu.]
 
kila jambo linalofanyika katika uislam lina hoja za msingi na ushahidi wa kujitosheleza kama maandiko yanavyotaka, kumbuka dini si suala la asili bali ni mtu anatakiwa kujiridhisha kwa imani unayoifuata kama ni sahihi au la! kwa historia, kusoma vitabu vya dini na mambo mengine mengi.

Hapo kwenye bold na italic, nadhani itakuwa ni jambo la msingi kila mtu aachwe aamini anachokiamini, kwa maana watu wote ambao imani zao zipo kwenye vitabu - zote ni imani za kuletwa na hata usome vipi au ulete reference gani ukweli unabaki kuwa hio si asili yako, ila imani ndio inakufanya usadiki hivyo kwa hoja za msingi, pasi na kujali kuwa ni kiarabu,kiebrania,kigriki au kisambaa kimetumika, issue hapa ni imani
 
Kumbuka kuwa uislam ni mfumo wa maisha uliokamilika kila kitu kimeshaelekezwa kwenye maandiko, suala la kutumia Lugha moja kwenye ibada lina maana kubwa ambayo wewe huwezi kuielewa. mfano mmoja tu kwa kutumia lugha hiyo mimi naweza kwenda nchi yeyote dunia iwe china au kwingineko na nitaweza kuswali bila shida yeyote, lakini dini nyingine hawawezi kufanya kama wanavyofanya waislam. umeelewa sasa?

Hawezi kuelewa kichwa kimejaa funza kwa kula nyama ya nguruwe.
 
Kinyume chake ni kuwa Ukristo ni imani ambayo inatengeneza mfumo wa maisha ya imani ya Kikristo, na imani hiyo ina maelekezo, na Mungu ndiye aliyetengeneza Lugha (Mwanzo 11:1-9) "kisa cha mnara wa Babeli" - hivyo Mungu anasikia lugha zote na unaweza swali (fanya ibada )kwa lugha yoyote ile na akakusikia, issue hapa ni imani na Mungu anasikia Lugha zote.
 
Kumbuka kuwa uislam ni mfumo wa maisha uliokamilika kila kitu kimeshaelekezwa kwenye maandiko, suala la kutumia Lugha moja kwenye ibada lina maana kubwa ambayo wewe huwezi kuielewa. mfano mmoja tu kwa kutumia lugha hiyo mimi naweza kwenda nchi yeyote dunia iwe china au kwingineko na nitaweza kuswali bila shida yeyote, lakini dini nyingine hawawezi kufanya kama wanavyofanya waislam. umeelewa sasa?
hapo kwenye red,Dini zingine ukiacha uislam, "Imani" ndiyo msingi unaojenga na kufanya mfumo wa maisha, imani huzaa matendo na matendo hutengeneza mfumo wa maisha.

Nikienda China ntakuwa nimesahau kiswahili kwamba nishindwe kusali. Au Mungu hajui kiswahili?
Nashangaa Mungu gani huyo anayefahamu Lugha moja tu? wakati Mungu huyo ndiye aliyeumba/fanya lugha hizo "Mwanzo 11:1-9", mungu fake anasikia kiarabu tu..Looh Mungu wa ajabu huyo? /SIZE]

Hawezi kuelewa kichwa kimejaa funza kwa kula nyama ya nguruwe.

Umefuata upepo na hisia ndio zinakuongoza na wala si facts
 
ilo swali jaribu kujiuliza kwa nini wewe haupo ulipo zaliwa ..............bora turudi kutambika na kuabudu mizimu ya kwetu ndo asili yetu hizi dini za wenzetu tuziache tu..........
 
Nikienda China ntakuwa nimesahau kiswahili kwamba nishindwe kusali. Au Mungu hajui kiswahili?

Uislam kwenye ibada ya sala tunatumia lugha moja tu iliyotumika kwenye Qur an tukufu lugha ambayo inashahabiana na lugha ya kiarabu, na waislam tunasali kwa jamaa (imam na maamuma) na hata ukichelewa jamaa unaposali pekee yako lazima utumie lugha hiyo, lakini kwenye mahitaji binafsi (dua ya maombi binafsi) unaruhusiwa kuchanganya lugha. umeshaelewa sasa wewe mla nguruwe.
 
Back
Top Bottom