Swali la x-mass

Swali la x-mass

Kwanini Makao makuu ya dini yapo Ulaya.

katoliki - Italia
Cathodic - Ujeruman.
Angalikan - Uk.
Wasabato - Marekani

nijuavyo mimi, Yesu aliishi sana maeneo ya IRAQ, SYRIA, ISRAEL na kidogo Egypt.Nchi za ulaya ndio za mwisho kufikia ujumbe wa YESU wala hakuna historia ya kwamba aliwahi kufika.
Kwanini makao makuu yasingaliuwa maeneo haya badala yake yamehamia nchi hizo?.

Hili ni swali naomba njibiwe kwa ustaarabu ili nielewe.

Tatizo ni wewe kufuata dini za watu.
 
Waisrael [wayahudi] hawamwamini YESU KRISTO na walikuwa wakiwauwa wale waliokuwa wakihubiri injili y YESU KRISTO sababu walimuona YESU KRISTO kama anaekwenda kinyume na maadili ya dini yao.

Mtume Paulo, Petro na wengine walifanya pia uinjilishaji huko Roma Italia [ulaya] na kutokana na kuwa muda huo ilikuwa chini ya dola ya Kirumi,
kutoka ulaya waliweza kusambaza Injili kutokana na muingiliano wa watu kutoka Uyahudi kwenda Ulaya.

mbona kitabu cha MATENDO YA MITUME na vitabu vingine vimeandika kwa kina tu.

nlikua nasubiri jibu la namna hi. kwenye matendo ya mtume ndo kuna majibu yote
 
Kwanini Makao makuu ya dini yapo Ulaya.

katoliki - Italia
Cathodic - Ujeruman.
Angalikan - Uk.
Wasabato - Marekani

nijuavyo mimi, Yesu aliishi sana maeneo ya IRAQ, SYRIA, ISRAEL na kidogo Egypt.Nchi za ulaya ndio za mwisho kufikia ujumbe wa YESU wala hakuna historia ya kwamba aliwahi kufika.
Kwanini makao makuu yasingaliuwa maeneo haya badala yake yamehamia nchi hizo?.

Hili ni swali naomba njibiwe kwa ustaarabu ili nielewe.

mambo ya dini ukianza ku discuss sana unaweza ukawa chizi we tulia tu na dini uliyoikuta kwa wazazi wako.
 
Mimi nashangaa sana hivi 25 /12 mbona kwenye biblia hajaandikwa kuwa inatakiwa kufanya siku kwa ajili hiyo
Sikuu ninao itambua ni Pasaka hata kwenye biblia ipo na Yesu amesema tufanye kwa ajili ya ukumbusho wake na si kila mwezi wa 4 kama wakiristo wengi wanavyo fanya.
Ndo maana wasabato ninawakubali sana hawana mapokeo , x mass pamoja na sikuu ya jumapili kuwa ndo siku ya ibada imeletwa na mfalme constatini na siyo Mungu.
Kuhusu siku ya jumamosi kuwa ni ibada iko wazi kwenye biblia haina haja ya kutumia nguvu nyingi sana kujua, soma kantikisini uk 174 utaona ni jinsi gani constanini halibadilisha siku kwamakusudi .
Quran ukisoma sura 16 :124 ,sura 2:64-66 ,na sura 62 :9-10 utapata kuwa Jumamosi kuwa ndo siku ya ibada na wala si ijumaa, ijumaa imetajwa zaidi ya mara moja tu katika qurani kulinganisha na siku ya juma mosi kuwa ndo siku inanayo takiwa kumwabudu Mwenyezi Mungu.
Kumbe wasabato ndo wako sawa kabisa .
 
swali limekosa jibu ajabu hii gt wote chali ? sitaki kuamini
 
Kwanza pole sana !Soma kwanza utafute ukweli uko wapi siyo usubirie majibu ya humu jf ndo uamini.
 
Kwanini Makao makuu ya dini yapo Ulaya.

katoliki - Italia
Cathodic - Ujeruman.
Angalikan - Uk.
Wasabato - Marekani

nijuavyo mimi, Yesu aliishi sana maeneo ya IRAQ, SYRIA, ISRAEL na kidogo Egypt.Nchi za ulaya ndio za mwisho kufikia ujumbe wa YESU wala hakuna historia ya kwamba aliwahi kufika.
Kwanini makao makuu yasingaliuwa maeneo haya badala yake yamehamia nchi hizo?.

Hili ni swali naomba njibiwe kwa ustaarabu ili nielewe.

Mbona Heading ya thread yako haiendan na swali lenyewe?!!swali la xmass uliza kuhusu xmas utajibiwa..
 
Mimi nashangaa sana hivi 25 /12 mbona kwenye biblia hajaandikwa kuwa inatakiwa kufanya siku kwa ajili hiyo
Sikuu ninao itambua ni Pasaka hata kwenye biblia ipo na Yesu amesema tufanye kwa ajili ya ukumbusho wake na si kila mwezi wa 4 kama wakiristo wengi wanavyo fanya.
Ndo maana wasabato ninawakubali sana hawana mapokeo , x mass pamoja na sikuu ya jumapili kuwa ndo siku ya ibada imeletwa na mfalme constatini na siyo Mungu.
Kuhusu siku ya jumamosi kuwa ni ibada iko wazi kwenye biblia haina haja ya kutumia nguvu nyingi sana kujua, soma kantikisini uk 174 utaona ni jinsi gani constanini halibadilisha siku kwamakusudi .
Quran ukisoma sura 16 :124 ,sura 2:64-66 ,na sura 62 :9-10 utapata kuwa Jumamosi kuwa ndo siku ya ibada na wala si ijumaa, ijumaa imetajwa zaidi ya mara moja tu katika qurani kulinganisha na siku ya juma mosi kuwa ndo siku inanayo takiwa kumwabudu Mwenyezi Mungu.
Kumbe wasabato ndo wako sawa kabisa .

We mbulula unaona ugumu gani kusema wewe ni Msabato....?

Kingine mbona umekwenda nje ya mada....Unajadili mlenda na chai...Unakichaa wewe...

Nilitaka kusahau:
I wish you Merry X-Mass....Maandalizi ni motomoto dunia nzuma tunasubiria tarehe 25..
 
Waisrael [wayahudi] hawamwamini YESU KRISTO na walikuwa wakiwauwa wale waliokuwa wakihubiri injili y YESU KRISTO sababu walimuona YESU KRISTO kama anaekwenda kinyume na maadili ya dini yao.

Mtume Paulo, Petro na wengine walifanya pia uinjilishaji huko Roma Italia [ulaya] na kutokana na kuwa muda huo ilikuwa chini ya dola ya Kirumi,
kutoka ulaya waliweza kusambaza Injili kutokana na muingiliano wa watu kutoka Uyahudi kwenda Ulaya.

mbona kitabu cha MATENDO YA MITUME na vitabu vingine vimeandika kwa kina tu.

Yy anatumia kuran iliyoandikwa lugha asiyoijua biblia ataisoma Saa Ngapi?
 
Ndugu, asante kwa kuniita mbulula sijuhi lina maana gani .pia dini haina ushabiki hata mkiwa dunia nzima .
Siyo kwamba nimeenda nje ya mada la asha nilijaribu kukumbusha mambo baadhi alionzisha Mfalme consintatini na watu wanayafata kana kwamba Mungu kaanzisha na mambo ambayo Mungu amesema tuyafate wengi hutuyafati njambo la ajabu sana!
 
Mbulula ni zuzu au mbumbumbu;

We mbumbumbu mleta mada kaanisha maswali yake hapo juu na anataka majibu, sasa kwasababu ya uzuzu wako unataka kuaribu mada ya mleta uzi......Huo ni umbulula....

We mbumbumbu kama ulikuwa unataka kukumbushia ni bora ungekumbushia kuhusu historia ya hizo dini......Umeonesha uzuzu wa hali ya juu..

We mbumbumbu, hebu fikiria kama ni mtiani umelizwa swali la Jiografia wewe unajibu Biolijia huo ni Uzuzu uliopitiliza......

We mbumbumbu kama ulikuwa unataka mawazo yako yachangiwe ni bora ungeanzisha uzi unahusiana na ulichotaka kuchangia...Hapa pia umeonesha uzuzu uliopitiliza...

We mbumbumbu,
Naomba tena nikutakie maandalizi mema ya sikukuu ya kuzaliwa Bwana wetu Yesu Kristo hapo Desemba 25,......Unatakiwa ujiandae kiroho zaidi...
 
Sidhani kama ukosawa asubuhi hii, na kama uko sawa basi ninamashaka na ukristo wako. Wawezaje kumtusi mwenzio kiasi hicho then umwambie ajiandae kiroho!? mimi nadhani wewe ndo unapaswa kujiandaa kiroho zaidi kwasababu ushahidi unaonekana katika maandishi yako. Muombe MUNGU akusaidie kutambua jukumu lako kama mkristo na siyo kutukana watu.
 
Kwanini Makao makuu ya dini yapo Ulaya.

katoliki - Italia
Cathodic - Ujeruman.
Angalikan - Uk.
Wasabato - Marekani

nijuavyo mimi, Yesu aliishi sana maeneo ya IRAQ, SYRIA, ISRAEL na kidogo Egypt.Nchi za ulaya ndio za mwisho kufikia ujumbe wa YESU wala hakuna historia ya kwamba aliwahi kufika.
Kwanini makao makuu yasingaliuwa maeneo haya badala yake yamehamia nchi hizo?.

Hili ni swali naomba njibiwe kwa ustaarabu ili nielewe.
Hata neno/jina BIBLE/BIBLIA limetokana na neno BIBLIOTEK (maktaba) katika lugha ya Ki-Swedish!
 
Uzuri wa Ukristo ni kwamba twaenda kwa Imani zaidi......who judges us wakati hana uwezo wa kuamini tukiaminicho
 
Kwanini Makao makuu ya dini yapo Ulaya.

katoliki - Italia
Cathodic - Ujeruman.
Angalikan - Uk.
Wasabato - Marekani

nijuavyo mimi, Yesu aliishi sana maeneo ya IRAQ, SYRIA, ISRAEL na kidogo Egypt.Nchi za ulaya ndio za mwisho kufikia ujumbe wa YESU wala hakuna historia ya kwamba aliwahi kufika.
Kwanini makao makuu yasingaliuwa maeneo haya badala yake yamehamia nchi hizo?.

Hili ni swali naomba njibiwe kwa ustaarabu ili nielewe.
Af ukishaelewa itakusaidia nin?kuna mtihan unapaswa kuujibu au?wew fanya mema kulingana na iman yako uone pepo achana na malumbano ya dini hayatakufkisha popote..
 
Back
Top Bottom