Swali la wakubwa (ukakasi/staha)

Swali la wakubwa (ukakasi/staha)

Je wanawake Kwa siku mizunguko na kazini toka asubuhi mpaka jioni chupi moja inatosha? Au awe na mbili? Je akiwa na moja Kuanzia asubuhi mpaka jioni itatoa ule mstari wa uke (discharges) na je anaweza kufanya mapenzi bila harufu? Ya uke bila kunawa?
Kwa nini mfanye bila kunawa? Siku nzima ukienda uani si unanawa?
Chupi moja yatosha
Kikawaida kama KE hana maradhi yoyote discharge hazina harufu mbaya per se, inakuwepo, sio mbaya, like unawez kunusa na usikunje uso
Na kuna muda hakuna discharge
Yategemea afya ya mtu,lishe,matumizi ya dawa, maji, kazi(umetulia ama una mihangaiko-sweat factor hapa) nk..

Why umeuliza hili suala?
muwe mnaoga basi😀
 
Kwanza harufu natural ya mbususu nzuri sana...!!! We licheki hata BEBERU likishanusa mbususu linakenulia PUA juu kwa furaha..!!
 
Je wanawake Kwa siku mizunguko na kazini toka asubuhi mpaka jioni chupi moja inatosha? Au awe na mbili? Je akiwa na moja Kuanzia asubuhi mpaka jioni itatoa ule mstari wa uke (discharges) na je anaweza kufanya mapenzi bila harufu? Ya uke bila kunawa?
Nakupa siri hiyo harufu ya pichu ya siku nzima ndo yenyewe sasa.
Nb kwa wale wanaonawa na kujikausha wakienda haja
Kuna mdau juu kakupa maelezo mazuri sana
 
Kwanza harufu natural ya mbususu nzuri sana...!!! We licheki hata BEBERU likishanusa mbususu linakenulia PUA juu kwa furaha..!!
Yeees
Uchi una harufu ya kawaida or rather nzuri(ukimpenda mtu afu akawa anajitunza utaona hivyo)

Sema baadhi ya KE wanalala na wanaume wengi ndo mana kuna tuhuma za KE wengi kunuka, issue sio kujiosha nje tatizo liko ndani
 
Back
Top Bottom