Aisee..!Panda daladala asubuhi kisha panda jioni kuna tofauti kubwa sana ya harufu
Eeeheeeee hii mpya kwangu kama ujuavyo jamiiforums wote tuna magari we don't use public transport ila Kwa koment hii ntapanda usafiri wa umma ili nisikie harufu mtambuka.Panda daladala asubuhi kisha panda jioni kuna tofauti kubwa sana ya harufu
😁😁😁😀😀😀tusiovaa wacha tutulie
😀😀😀 mimi sina labda lift ya jirani siku moja mojaEeeheeeee hii mpya kwangu kama ujuavyo jamiiforums wote tuna magari we don't use public transport ila Kwa koment hii ntapanda usafiri wa umma ili nisikie harufu mtambuka.
🥺😋😋👌🏿🚶🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿😀😀😀tusiovaa wacha tutulie
joto 😀😀😀sasa unavaa nguo nzito mengine tunaachana nayo🥺😋😋👌🏿🚶🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Kama mwanamke hana matatizo yoyote ikiwepo bleed anaweza kukaa siku nzima na chupi moja as long as ajue kujikausha kila anapokwenda haja ndogoJe wanawake Kwa siku mizunguko na kazini toka asubuhi mpaka jioni chupi moja inatosha? Au awe na mbili? Je akiwa na moja Kuanzia asubuhi mpaka jioni itatoa ule mstari wa uke (discharges) na je anaweza kufanya mapenzi bila harufu? Ya uke bila kunawa?
Shida ni pale ikitokea dharura patashika nguo kuchanika😋😂joto 😀😀😀sasa unavaa nguo nzito mengine tunaachana nayo
hapo sasa hayo ni yatokanayoShida ni pale ikitokea dharura patashika nguo kuchanika😋😂
Jamaa mmoja alivaa chupi ya mkewe kama utani halafu kufika kazini akapata ajali...hapo sasa hayo ni yatokanayo
watu walimchukuliaje😆😆😆Jamaa mmoja alivaa chupi ya mkewe kama utani halafu kufika kazini akapata ajali...
Alionekana wali nazi😂..! Ila wanaume hatupaki makalio mafutawatu walimchukuliaje😆😆😆
mama angu hua anasisitizaga kupaka maguta makalio tusije kuaibika lolote likitokea
Nini sister? Umeona thread iliyoanzishwa ma mmoja wa Madingi ya Mbinguni ?Aisee