MKURYA NO1
Member
- Jan 4, 2013
- 21
- 7
Naikataa kwa sababu imelitafuna taifa muraaaaaaaaaaaaa na kutuacha makabwera tukitaabika kwa maisha magumu.
Swali hili ni kwa wale ambao katika fikra zao na mioyo yao wameamua kuikataa CCM. Wameamua kutokujiunganisha wala kujiambatanisha na chama tawala. Kwa hawa CCM ni kinyume nao. Napenda kujua hasa wale wanaoikataa CCM wanaikataa kwa sababu gani hasa? Maana wengine wanaikataa CCM kwa kadiri ya kwamba wako nje lakini wakiingia ndani au wakionjweshwa vya ndani wanakuwa wa kwanza kuitetea. Inawezekana wanaoikataa CCM hawaikatai kwa sababu moja ya msingi isipokuwa sababu nyingi za binafsi?![]()
Je wewe unaikataa CCM? umewahi kujiuliza ni kwanini?
Mwanakijiji, naikataa CCM kwa sababu moja kubwa... siyo tu imepoteza dira, haina sifa wala uhalali wa kuitwa chama cha siasa. Hakikutimiza, hakiendeshwi na hakiheshimu miiko na masharti yaliyoambatana na uanzishwaji na uendeshaji wa mfumo wa vyama vingi. CCM ni serikali, ni bunge na ni mahakama vyote kwa pamoja na hii imepelekea nchi kuendeshwa si kwa kufuata katiba bali miongozo ya CCM.Majibu yenu haya nitayatoa kwenye gazeti next week....
Masalia at work....toka mmesambaratishwa na Ben saanane sasa naona wote mmeamua kuwa watetezi wa ccm
ingeweza kushughulikia mambo hayo yote ungeiunga mkono na kuikubali? Vipi kama ikianza kufanya hivyo sasa?