Swali la Ugomvi: CCM ni kama nini?

Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, tuliwapa, na uchaguzi wa leo wa serikali za mitaa, tunakwenda kuwapa tena!.
Twendeni tukapige kura!.
P
 
Wewe Mzee unaandika vitu ambavyo Chama tawala wanapenda...
Mkuu Isanga family , karibu pande hizi, hivi ndio vitu ambavyo Chama kinapenda viandikwe?.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…