Swali la Ugomvi: CCM ni kama nini?

Hivi hakuna wana Ccm wanaoweza kuifananisha na kitu kizuri ukiondoa wawili hapa walioifananisha na mama au mkombozi. ?
 
...ccm ni septic tank(sewage) kila aina ya uchafu unajificha humo,mafisadi,majambazi,walevi+wauza madawa ya kulevya,malaya,majangili,wanafki,wazushi na katakataka nyinginezote na zaidi ni wakala wa shetani....
 
Nafanya tafakari tuu niliwahi kusema nini kumwambia nani na kulinganisha hiki kinachoendelea sasa ili kujua nini kitatokea ile October 25.

Pasco
 
Nafanya tafakari tuu niliwahi kusema nini kumwambia nani na kulinganisha hiki kinachoendelea sasa ili kujua nini kitatokea ile October 25.

Pasco

Pasco nitaanza kukusoma tena baada ya uchaguzi,kwa sasa najipa likizo kidogo!
 
Last edited by a moderator:
ccm ni kama simba kwenye pori la swala, ukiwa mtoto wa simba utanufaika tu na nyama, ila ukiwa swala ujiandae kuuawa na kuliwa wote.
 
ccm ni kama simba kwenye pori la swala, ukiwa mtoto wa simba utanufaika tu na nyama ya mawindo, ila ukiwa swala ujiandae kuuawa na kuliwa wote.
 
CCM IS LIKE AN IDENTITY eg TRIBE,,, YOU CAN NEVER RUN AWAY FROM IT, ITS THERE TO STAY.
CCM FOREVER
 

Well... Mzee Mwanakijiji ni mtumishi mdogo sana wa "kitengo" na ukweli wa kweli yake bado unatafuta kweli halisi
 
Last edited by a moderator:
Ccm ni kama konyagi au pombe kali unainywa machozi yanatoka lakini bado umo tu hadi ukishituka ushaoza maini.
 
CCM ni Zaidi ya kundi la FISI....
 

Attachments

  • imagesA07CZGD2.jpg
    10.2 KB · Views: 118
  • images.jpg
    10.9 KB · Views: 116
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…