BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 778
- 1,269
Habari wakuu
Kati ya maswali ambayo nimewahi kujiuliza lakini sijapata majibu, ni hili... Kwanini hasa watu wanaoa?
Je wanaoa ili wapate watoto? Je huwezi pata watoto bila kuoa?
Je wanaoa ili wapate ngono ya uhakika? Je usipooa huwezi pata ngono ya uhakika?
Je wanaoa kwakuwa wamechoka kufua, kupika, kuosha vyombo, kufanya kazi zile Zinazoitwa za kike? Je bila kuoa hayo mambo hayawezekani?
Au wanaoa kwa kuwa wazazi, ndugu na jamii inayowazunguka inawataka waoe?
Au pengine watu wanaoa kwa kuogopa ukiwa? Je kuoa ni njia pekee ya kuukabili ukiwa?
Je unaoa kwakuwa muda umefika? Miaka 18, 25, 30, 40 n.k
Naomba mnisaidie bandage kupata majibu ya hili swali.