Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Seriously,Mimi nataka asiye mrefu kama mimi,namaanisha napenda wafupi na weusi wa kuteleza,nitafute nikuoe hata leo!!!
Aisee...pm au..?
Seriously,Mimi nataka asiye mrefu kama mimi,namaanisha napenda wafupi na weusi wa kuteleza,nitafute nikuoe hata leo!!!
Tupange talehe ya halusi
Tutaongea rakini sio reo bana ......!!
Kama sio huyu umechemsha ....!!
![]()
Kama sio huyu umechemsha ....!!
![]()
Kwa nini isiwe reo...unajua mi nataka hili suara riende halaka..
Tutaongea rakini sio reo bana ......!!
wakuu haya matumizi yasiyo sahihi ya "r" na "l" ni kwa makusudi au bahati mbaya!
Nitafute watsapu bana
Hiri jambo sio ra kuongerea hapa ....!!
Mimi sina simu ya wasap bhana rabda uninunurie
Basi usijari,hebu nipe namba yako ya eateri mane nikutumie!
Aiesee ntashukulu kwerii...
Nasubilia hiyo namba ......!!
Muamini, ila pole kwa kuchapiwa
kuna makosa kadhaa ya kisarufi(sarifu matamshi) nilikua nakumbushia lakini wenzetu wa kanda maalum ndio huwa wana changamoto hiyo!Hahahahah...kwani tunakosea? Bahati mbaya mkuu....
nitafanya hivyo!