Swali la leo?

Swali la leo?

Nicas Mtei!


Halafu mkuu, just thinking out wild, are you sure huyo mwanaJF alisema H.O.E na sio -----? hahahahaha

Trust me, simjui huyo nicas

Huyo mwana jf alinionesha kwa mbali tu, sikuweka attention sana tu
 
Asiwe anaandika vibaya...penye r anaweka l and viceversa...mtu wa hiv hata angekuwa na sifa zote
 
Asiwe anaandika vibaya...penye r anaweka l and viceversa...mtu wa hiv hata angekuwa na sifa zote

080403d0145.jpg
 
Daa hiki kitu kimenigusa sn,kuna demu nimedumu naye miaka 4,ss nataka fanya process awe ndani but naona ANAPENDA KUNITAWALA NA KUNIFOKEA,pia ANAJIAMINI kupita maelezo.

Natafakari,sijui kama tutafikia coz nami najijua jinsi nilivyo.

Sina tofauti nawewe mkuu,mimi nimeachana na wangu miezi kadhaa iliyopita japo tulifika mbali na kisa ni alikuwa hivyohivyo na ni mbabe sana na mkali bila sababu,ingawa si mhuni kabisa.Unyenyekevu na kujishusha ni sifa ya mwanamke yeyote,kama hana sifa hizo atakutesa na zaidi kama wewe ni mpole.
 
Seriously,Mimi nataka asiye mrefu kama mimi,namaanisha napenda wafupi na weusi wa kuteleza,nitafute nikuoe hata leo!!!
 
Back
Top Bottom