Ningependa kujua kwanini sisi waafrika tukilewa sana,tukiwa njiani kurudi nyumbani tunaimba njia yote.Lakini
mzungu akilewa ni anatukana na kutafuta ugomvi njia nzima?
Mwafrika anaimba kwa kuwa pombe ni sehemu ya starehe (burudiko la moyo) lakini mzugu atukana kwa kuwa anapoamua kunywa ni mara chache hufanya kama starehe zaidi huwa ni kupunguza msongo wa mawazo alionao kichwani, na motokeo ya yeast ndo hayo.
Sisi wazungu kwanza tunakunywa kwa hela zetu tofauti na nyie waafrika. Pili tuna studio majumbani kwetu kwahiyo tunaimba studio. Tatu tunatafuta ugomvi sababu tukishalewa ndio tunakuwa na nguvu sio nyie waafrika mkishalewa mnalegea hadi kuvua viatu mnashindwa. Ahsante kwa maswali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.