Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali la kizushi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by tz1, Dec 28, 2011.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,102
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ningependa kujua kwanini sisi waafrika tukilewa sana,tukiwa njiani kurudi nyumbani tunaimba njia yote.Lakini
  mzungu akilewa ni anatukana na kutafuta ugomvi njia nzima?
   
 2. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,473
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mwafrika anaimba kwa kuwa pombe ni sehemu ya starehe (burudiko la moyo) lakini mzugu atukana kwa kuwa anapoamua kunywa ni mara chache hufanya kama starehe zaidi huwa ni kupunguza msongo wa mawazo alionao kichwani, na motokeo ya yeast ndo hayo.
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,102
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nathani kuna ukweli hapo au labda ni moja ya sababu
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,142
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 145
  sijui ya wazungu, sijakaa nao
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,603
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  labda wanywaji wa pombe za kienyeji
   
 6. w

  wqj789 Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nathani kuna ukweli hapo au labda ni moja ya sababu
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 7. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 9,861
  Likes Received: 1,358
  Trophy Points: 280
  ni mtazamo wako mkuu/Maeneo unayoishi watu wengi wako hivyo ila nadhani si wote
   
 8. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,102
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hivyo pombe ya kienyeji ina amani
   
 9. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,102
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hivyo inamaanisha nakaa sehemu yenye amani?
   
 10. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,164
  Likes Received: 465
  Trophy Points: 180
  waafrika tuliowengi tunakunywa pombe za kienyeji kama vile lubisi, mbege, mnazi na konyagi za matambala machafu kwa hiyo inakuwa burudani
   
 11. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,102
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Konyagi za matambala ndo nini mkuu?
   
 12. achonya

  achonya Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Ahahahaaaa... Nimependa sana haya Majibu... Ngoja Nilewe kwanza...
   
 13. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,102
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ukilewa pombe ya kienyeji utatuimbia mwimbo gani mkuu?
  Ukinywa safari angalia usitafute ugomvi na invisible utapata ban
   
 14. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hahaha..............umeona enh!
   
 15. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,237
  Likes Received: 679
  Trophy Points: 280
  hata wazungu pia huwa wanaimba, na hata waswahili pia hutukana sema wao huzidisha na kingledha tu
   
 16. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,473
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mi naomba tufanye majaribio leo baada ya kazi. Sema wapi tukutane wote nitakuja na wazungu wanne pia.
   
 17. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mi nikilewa nalala tu
   
 18. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,102
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mimi nikilewa natamani ku do
   
 19. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,102
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kama wa kike poa,kama wanaume hapana wanaweza wakawa macameron.
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,741
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Sisi wazungu kwanza tunakunywa kwa hela zetu tofauti na nyie waafrika. Pili tuna studio majumbani kwetu kwahiyo tunaimba studio. Tatu tunatafuta ugomvi sababu tukishalewa ndio tunakuwa na nguvu sio nyie waafrika mkishalewa mnalegea hadi kuvua viatu mnashindwa. Ahsante kwa maswali.
   
Loading...