Bongo Contents
Member
- Jan 17, 2024
- 47
- 71
Mimi n mkazi wa Dar, Sasa nahitaji kuanza kwenda mikoani kutafuta soko la bidhaa yangu. Kwenye kutafuta soko Huwa ni 50/50 kunakupata na kukosa, na pia inachukua muda kumshawishi mteja ambae ni muuzaji wa duka kuchukua bidhaa yako hivyo inabidi kuja na kurudi japo siku tatu hivi ili aone userious wako.
Mfano wiki moja kukaa Guest au Lodge inakata sana. Hamna njia yoyote yakusave hili tatizo ukiachana na kwenda kukaa kwa ndugu au marafiki kwa sababu hao watu sina mikoani.
Mfano wiki moja kukaa Guest au Lodge inakata sana. Hamna njia yoyote yakusave hili tatizo ukiachana na kwenda kukaa kwa ndugu au marafiki kwa sababu hao watu sina mikoani.