Swali la kizushi!!!!! Siku ya kwanza ukikutana na mpenzi to be external factors gani unaziconsider!!

Nilipe mimi kwani nimetangaza nini?
wewe ndo mwenye kibarua cha ku prove
mimi sijawahi claim anything,
but najua wewe hulipi hivyo unavyo claim..

Hahahahaaaaa! Naona Hujiamini atiiii! Mi ubishi wa ligi siwezi! Kubishanania msuli tu!Wewe unaedai kuwa i dont have what i claim PROVE IT WITHOUT DOUBT!!!!!!!!!!!!!!!!!! Otherwise Inocent till proven guilty.!!!!! Mimi siwezi kuogopa kusema kitu kama ninacho, eti nijifanye sina ili nisionekane!!!! I SAY NO TO LIVING A LIE. Kama ninacho nasema, kama sina nasema pia, coz that the truth no matter if you like it or not!!!!!!!!!!!!!!:lol::lol::lol::lol:
 
Kwani una nini mdada ? Sema watu tu trace Ip adress hiyo kimya kimya kama unalipa tufanye mambo he he he
 
gfsonwin , Dark City & FP thank you for ur useful posts in this thread

Usijali sana ZD,

Watu wanakimbizwa na urembo (cosmetics) na sie hatuna budi kuwakumbusha kuwa hayo ni mambo ya kupita sana...

Ndo maana enzi walituasa kuwa mchague mchumba asubuhi kabla hajapiga mswaki na kunawa uso....

Vinginevyo, utakumbana na kanyaboa kama zile za mji fulani, ambako jamaa yuko tayari kulalia mbavu za mbwa lakini hakikishe madini ya kutosha yamesheheni kila kipande cha mwili wake!!

Babu DC!!
 
gfsonwin , Dark City & FP thank you for ur useful posts in this thread

thanks ma dearest ZD.

nakumalizia kwa maneno haya,
" kwa maana upendo una nguvu kama mauti, na wivu ni mkali kama ahera , maji mengi hayawezi kuuzamisha upendo wala mito haiwez kuugharikisha na hata kama mtu atatoa mali yote ya nyumbani kwake badala ya upendo bado tu angedgarauliwa"
 
Back
Top Bottom