Swali la kizushi!!!!! Siku ya kwanza ukikutana na mpenzi to be external factors gani unaziconsider!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali la kizushi!!!!! Siku ya kwanza ukikutana na mpenzi to be external factors gani unaziconsider!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lara 1, Oct 17, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Niajeeeeeeeeeeee!!!! Wakubwa zangu shikamooni!!!! (Itabidi nipewe tuzo ya kuheshimu wakubwa jf!!! LOL!)

  Nauliza tu wajameni, maana hamkawii kunigeuzia kibao!!!!

  Eti jamani if you meet a guy/girl for the first time external factors gani zinakupa indicator kuwa sasa hapa THE GAME IS ON, au ndo zinakuturn off kabisa!!! Yaani tuachane na internal kama tabia, sijui ucheshi. Nachosemea ni kile kitu kinachokufanya Ujisogeze kama ngamia anaenda kuchinjwa kumtokea demu au kuchukua namba hapo umemuona tu bidada harusini au kwa basi for the first time, humjui hakujui. What makes you notice her among the crowd!!!!!!!!!???

  Na bi dada nini kinakufanya mtu hata humjui akija kukuomba namba utoe au ubane, what do you look in a guy na kufanya maamuzi ya fasta kuwa the game might be on!!!!

  Mimi nazingati vigezo vifutavyo when i look at a guy i just met.( All are subjective to context tuliokutana)

  1. Unyunyu (Perfume) aisee kama umepulizia kitu ya designer au hata kitu iliyotulia baaaaaaaaaaaas. Kama una odour ya jasho, namba sitoi ngoooo!

  2. Shoes aiseee! Hapa nacheki catalogue, hata za mtumba poa tu, ila najua kuwa fashion imo imo kiana.

  3.Saa, aisee hii inahusika sana, najua kabisa kama ni mtu busy una ishu focused lazima kiwiko kiwe na kitu, ila kama huna najua mzee wa magumashi.

  4. Hair cut, Kama umenyoa kiduku najua sharo namba sikupi wala nini., Kama umepiga upara natilia shaka huenda una uwaraza, kama umesuka........... simaliziiiii.

  5.Suruali ulipovalia!!!! Kama ndo punga upepo, akaaah! yasije kunikuta ya Daimondo au Lil Wayne Mbuzi Mzee

  6. Madini, kama umetupia vito sana, kg za kutosha shingoni na mkononi, mipete sijui mimi walaaaa, nahisi utakuwa unahusika na wakongo kidesign!!! LOL!

  Kidali poo, mlale nacho!!!!!!!! LOLEST
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm...haya hapa tutaona mambo watu wanayoyapenda. haya mie ni ya futayo

  1) rangi- kwanza napenda awe mweupe kama fifi kisura
  2) height- she has to bell tall, tall women just have this je ne sais quoi abt them that makes them appear sexy
  3) legline- mwanamke mguu bwana lakini sio umejaa sana
  4) boobs- they have to be firm, average size and just enticing clevage
  5) ears- mwanamke aliyetoga masikio more than once is just a turnoff for me. i want a lady, simple but eligant
  6) fingers and nails- i love long thin fingers na long natural nails wich are well take care off na na prefer asiwe amepaka rangi but just polished
  7)booty- **** jamani ndio ugonjwa wetu wanaume jamani ata msemaje
  8) kwapa- kama amevaa top inayoishia kwenye mabega napenda kuangalia kama kwapa lipo well shaved na naweza lilamba wakati wa majamboz.
   
 3. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaaa! We mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!! (Hapo namba 8 umeniacha hoi, hadi kucha zahusika? sasa zikiwa ndefu si zinaonesha bi dada anashinda kwenye tv hafanyi kazi yoyote?)
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ah mie bwana i want my lady to be all alluring and beautiful. yaani kama kunavitu i pay attention ni vidole. atakuwa ananishaka na kunipet pet navyo so i shuld be happy to be touched by them na hamna kitu napenda kama mwanamke ana kucha nzuri alafu hapaki rangi but just polishes them na unaona uzuri wake sasa imagine her touching my balls with that hand...yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaaaaaaaaaa!
   
 6. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ok mie huwa natazama yafuatayo:a)physical features kwa maana ya kuwa height awe tall or medium size,slender body is a must i.e mambo ya six pack b)color -awe maji ya kunde or black flan c)elimu- awe kapiga vidato coz siwezi kudeal na inferiority complex ya man ambaye nitakuwa nimemzidi elimu d)mavazi -ajue kupiga pamba like a realman ......shosti lara 1 mengine yanajadilika
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280

  https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/296317-vitu-ambavyo-huwapagawisha-wanaume-wamwonapo-mwanawake.html
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kumbe kwapa linahusika
   
 9. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hehehe, ninyi mwataka sie tulio oa tutafute nyumba ndogo, siyo?
   
 10. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kwani hapo mkuu hafikishi walau 80% ya hayo mambo? mengine yanarekebisha, labda hayo ya kibiologia ndio kazi
  lakini tabia hapo haipo ambayo inakuwa inaenda kinyume na hizo sifa (mara nyingi) kwahiyo inabidi ukubali moja!!!
   
 11. N

  Natalia JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Chemistry hamna chemistry don't call her again
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. N

  Natalia JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Lazima awe na kazi ,very independent .wazazi wasomi ,sexy na fashion .neighbourhood gani anakaa,some people are from very dangerous neighbourhood.good luck
   
 13. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kumbe watu wako busy na mambo yanayobaki machinjioni??

  Wenzenu tulikuwa tunahangaika na mambo ambayo yatakupaka damu, ili hata ukishatoka machinjioni ubaki na madoa doa...!!

  Labda kama mwaongelea mambo ya kukata kiu kwa kutumia kinywaji kilichowekwa kwenye disposable cans and bottles....tena zile ambazo ni ngumu ku-recycle!!

  Babu DC!!!
   
 14. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Hapa lazima ninyamaze, nitake nisitake maana,,,
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Six Pack......mweeeeeeeeeeeee.......
  Mwendo......atembee kiume.....
  Mnukio....utanisogeza karibu zaidi.....
  Dreads...hii ni kama kachumbari lakini sio lazima sana......
  Na kadhalika.....
   
 16. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
 17. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  dah lara umenigusa mi kwa mdada ambae ananichanganya first time , najua hapa ngoja nianze uchokozi nipata hata contact first time ambaye ni stranger ni haya yafuatayo

  1. Kwanza kabisa dress code, I mean alivyovaa that day najua kabisa huyu nahitaji kumfaham vizuri,, work days tena day time, asubuh, au jion I expect mdada anaejielewa lazima awe smart kwenye mavazi ya mihangaiko, hata kama ana kazi nategemea awe amevaa kidada,, so dress tu inaweza ikanivuta hisia za hapa naweza nikalamba dume mama watoto akapatikana ( masister duu huwa namega tu na kukimbia na sipagawagi sana nao first time)

  2. Pili miguu lazima niangalie hata kwa wizi ( huu ndo ugonjwa wangu mkuu) napenda mdada awe na miguu hata akivaa apendeze ,as umri wa ujana huu na mpenzi lazima kuna outings za hapa na pale,harusi za washkaji so kupendeza muhim na miguu lazima ihusike ( wale wa miguu kama yangu I am sory)

  3. Usafi, kuanzia nywele, mavazi, handbag hadi viatu navyo vinahusika as mwanamke lazima awe smart unajua kabisa hata tukienda next stage kama contact zikifanya kazi zake na tukawekana ndani basi familia nayo iwe smart

  4.Urefu nao factor as binafsi ni tall so mfupi itakuwa shida hata kumzingua.

  5. Response yake ya salam na uchokozi wangu nitakaouanza maana mshenzi( unaweza ukamjua kwa maneno mawili tu atayotoa mwanzo as ukimtega na conversation starter nzuri )...

  Wangu ni hayo tu ya first day as mengine mengi yatakuja baada ya kupata contacts ndo vigezo vingine vitafata kwenye next stage
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  External factor ya kwanza awe kaoga tu, anayejua usafi, awe na swaga za akina sekendari, vingine vyote navyopenda nitamuelekeza
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Duh, i thought na wewe ni ngumbaru
  King'asti njoo hapa, hivi Paw unampendea nini naskia hana hata 4packs

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  usiombe ukutane na muhaya...si utadanganywa tu?
   
Loading...