Swali la kizushi/mshangao

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Ina maana hata kututakia mery chrismass njema sisi wapiga kura kashindwa au bado atatoa hilo tamko baadae .

Maana sio kwa ukimya huo kwa kweli hadi tunajiuliza hivi yuko /kapatwa na nini?
Binafsi niwatakie merry chrismss njema na hapy new year.
Kwangu karibuni sana.
 
Aiseee! Siyo kwa kumpenda huku! Swali la kizushi kwako: Ulimpigia kura yako!!!!?????????????????????????????????????????????????????
 
Ina maana hata kututakia mery chrismass njema sisi wapiga kura kashindwa au bado atatoa hilo tamko baadae .

Maana sio kwa ukimya huo kwa kweli hadi tunajiuliza hivi yuko /kapatwa na nini?
Binafsi niwatakie merry chrismss njema na hapy new year.
Kwangu karibuni sana.
Kama ni mtumishi wa serikali cheki bank balance yako keshatuma salamu za krismass na mwaka mpya tangu 20.12.2020 chezea Jiwe katika ubora wake weye!!
 
Labda juzi sisi tangu tarehe 18 tushalamba
 
Ina maana hata kututakia mery chrismass njema sisi wapiga kura kashindwa au bado atatoa hilo tamko baadae .

Maana sio kwa ukimya huo kwa kweli hadi tunajiuliza hivi yuko /kapatwa na nini?
Binafsi niwatakie merry chrismss njema na hapy new year.
Kwangu karibuni sana.
Umenchekesha kweli
Thanks kwa kunfanya nicheke.
Merry xsmass, cha muhmu tumbo liwe full.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom