Ukipewa cheti maana yake umepata kitu,na sefuri maana yake NOTHING.Nini sababu ya mtu aliyepata divisheni ziro kutopewa cheti cha kidato cha nne au cha sita? Si ni matokeo aliyoyapata baada ya kushiriki mitihani? Kitamsaidiaje, hiyo si ni yeye mwenyewe atajua? Gharama za cheti - si alilipia mitihani sawa na wenziwe? Ziro si ni moja tu ya matokeo ya mitihani? Kwani ziro inaweza kutolewa kwa mtu asiyefanya mtihani?
Ukipewa cheti maana yake umepata kitu,na sefuri maana yake NOTHING.
Kwa hyo ukipata zero maaana yake umepata nothing.
unaelewa nini maana ya ZERO au sifuri kwa kiswahili??
Kama ulikuwa hujui ni kwamba SIFURI ni kitu ama namba ambayo haina thamani ikiwa peke yake. Kwa kifupi tu ni kwamba mtu aliyepata Sifuri maana yake hakuna chochote cha thamani alichokifanya na hastahili reward yoyote
Nataka nikiweke kwenye fremu nikining'inize sebuleni. Kwa nini unizuilie cheti changu kwa vile tu unadhani hakuna mtu mwingine atakihitaji?Sijawahi kusikia division zero au disco inahitajika sehemu yeyote ile mpaka kuwe na mahitaji ya cheti kuthibitisha hilo.
Ukinunua machungwa 5 halafu njiani ukayapoteza kwa uzembe wako unarudi kwa muuza machungwa akupe machungwa sifuri ili ukifika nyumbani uwaambie nimenunua machungwa sifuri.
Au dhana ya sifuri/ziro hukujifunza ukiwa vidudu mkuu?
Kwa hoja za namna hii kweli unasadifu zero kichwani.Si ndio unipatie cheti kinachoonesha nilifanya mtihani nikapata sefuri?
Asinipe reward yoyote, zaidi ya cheti kinachoonesha matokeo yangu ya ziro. Shida iko wapi?
Kwa hoja za namna hii kweli unasadifu zero kichwani.
Nimeshakwambia ukipata sifuri ni sawa sawa na hamna ulichokifanya.Sasa hicho cheti kitatoka wapi wakati hamna ulichokifanya??
Naona umeanzisha uzi kwaajili ya ubishi na siyo uelewa. Anyway kama umekuja kutafuta wingi wa comment ngoja waje wajinga wenzio muendelee na ujinga wenu. AsanteWalijuaje kama ninastahili ziro ikiwa sikufanya mtihani? Cheti kitatoka kulekule vinakotoka vya waliopata divisheni wani.
Mfano wangu ni so paratable.
Umefanya huo mtihani under which circumstances?? Umepewa guidelines umezikiuka halafu unataka huruma.
Kwanza sijui unalazimisha kitu ili hali hata umekubali kwamba kupata D moja ni ziro.
Mkuu unadai upewe ziro
Naona umeanzisha uzi kwaajili ya ubishi na siyo uelewa. Anyway kama umekuja kutafuta wingi wa comment ngoja waje wajinga wenzio muendelee na ujinga wenu. Asante
Ukipewa cheti maana yake umepata kitu,na sefuri maana yake NOTHING.
Kwa hyo ukipata zero maaana yake umepata nothing.
Exactly my point.Je mtu aliye pata division 0 anaweza kuwa na elimu ndogo kama ya darasa la saba? Au atafanana na darasa la saba! Kielimu?
Kwangu Mimi Miata minne ya kusoma sec. na kitoka na. Sifur hakuwezi linganishwa na mtu aliye ishia la saba
Nafikiri waweza kuchukua yale matokeo yako na kuyatengenezea kitu mfano wa cheti na kufanya hilo jambo unalotaka kufanya.Nataka nikiweke kwenye fremu nikining'inize sebuleni. Kwa nini unizuilie cheti changu kwa vile tu unadhani hakuna mtu mwingine atakihitaji?