Salamu wana jf.
Kuna baadhi ya posts nimemsikia kiranga akisema huwa anakwenda kanisani kuudhulia matukio mbalimbali ikiwemo ndoa.
Leo kwakuwa ni juma pili nimejikuta nikijiuliza, kiranga akienda kanisani huwa anakuwa anasali na kusikiliza mahubiri kama watu wengine au huwa anasubiri tu ibada iishe ili aendelee na mambo yake mengine?
Je, huwa anachukuliaje swala zima la ibada akiwa kanisani?
Note: kiranga ni atheist.
Karibuni.