Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Hivi Mungu anamdharau Shetwain? Kama sivyo, ubavu wa binadamu kumdharau mwenzake umetoka wapi?
Hivi Mungu anamdharau Shetwain? Kama sivyo, ubavu wa binadamu kumdharau mwenzake umetoka wapi?
Hii nayo ni Thread!?
kuna uhusiano gani kati ya Mungu NA SHEITWANI NASI BINADAM
Is this MMU?
Hiki ni nini tena hapa?..mapenzi, mahusiano ama Urafiki?
Kweli nmeamini..a little knowledge of something is a dangerous thing...
Labda huyo wa pili, wa kwanza hata yeye hajaelewa kitu
kuna uhusiano gani kati ya Mungu NA SHEITWANI NASI BINADAM